At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,566
- 3,642
Mbona kuna watu wamesoma PCB na wanapiga engineering.Kaka
Kwa tz hii hakuna kozi utaingia ya engineering ,hauna Advanced math,
Bam sio hesau,ni app to mathematics!
Tunapozungumzia math tunamaanisha advanced math (pure)
Ili uqualify kusoma kozi yoyote ya engineering tz with exception to Agric & irrigation za Sua,
Ni lazima use umesoma na kufaulu Phy na math (kwa hapo wanaokidhi vigezo ni pcm na Pgm tu)
Wakati wa kikwete,walichukuliwa hadi PCB not this time!
Kuhusu MD hatopata kwa sababu ya ushindani hivyo,usimdanganye maana atajikuta anakosa chuo hadi 4th round! Na ukisoma TCU guide book wameeleza uangalie ushindani before applying
Thanks
Mimi ninavyofahamu exception iko kwa core engineering ambazo ni mechanical, electrical na civil. Hizo ndio lazima uwe na principal pass ya D kwenye physics na mathematics.
Engineering zingine almost math na physics hawafanyii consideration sana muhimu uwe umefaulu vizuri. Huwa wanaangalia moja kati ya physics au mathematics.
But inadepend chuo na chuo..