Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,547
Reaction score
9,700
Habarini wanajukwaa

Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo

Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe wakubwa naomba mchango wenu wa hizi kozi ni nzuri au nipige chini. Na naomba ushauri wa kozi nyingine nzuri.

Nimesoma PCB nina two ya 12 nina D flat na bam na GS ni E zote msaada wenu tafadhali.
 
Bachelor in chemistry, in physics, in biology achana nazo haina soko kabisa ani...otherwise kama unataka ukimaliza uje kufundisha twisheni huku mtaani.

Huko kwingine unaweza ukaenda...ukiona hamna kozi ya maana kuliko kwenda Huko degree ni heri utumia cheti cha olevel ukasome Diploma kozi za Engineering pale DIT hutokaa ujutie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bachelor in chemistry, in physics, in biology achana nazo haina soko kabisa ani...otherwise kama unataka ukimaliza uje kufundisha twisheni huku mtaani... Huko kwingine unaweza ukaenda...ukiona hamna kozi ya maana kuliko kwenda Huko degree ni heri utumia cheti cha olevel ukasome Diploma kozi za Engineering pale DIT hutokaa ujutie

Sent using Jamii Forums mobile app

hawa jamaa kila siku tunawaambia lakini huwa hawasikii. Wanapenda sifa za kusoma ma kozi hayaeleweki af wanakuja kulialia hapa.

yani hapo umemuambia asome diploma sijui kama anakuelewa yeye anawaza degree tuu. hizi elimu huwa zinawafanya watu wawe vipofu
 
vipi Chemical engineering
 
Namuelewa
 
vipi Chemical engineering
Chemical engineering, oil and gas, na Mining engineering nazo usiguse kabisa,...

nzuri za kusoma ni Electrical engineering, science and laboratory technology ( hii juzi niliona Muhimbili hospital wametoa nafasi za kazi), Food science and technology.. Biomedical engineering, mechanical engineering na civil engineering na biotechnology.

Ngoja nkushauri kitu ukinisikiliza hutokaa ujutie, PCB ukishakosa kozi za Afya kwenda degree ni heri ughairishe ukaombe diploma,

kuna kaka yangu alikosa nafasi ya kwenda kusoma MD degree.. Akaambiwa atulie aombe mwakani au atafute kozi kwa ngazi ya diploma asome alikuwa na mchecheto wa Boom sijui akang'ang'ania kwenda kusoma Bachelor science in Physics mpaka leo hiii hana ajira kwa icho alichosomea, ni mwalimu tu wa physics wa twisheni hizi na kazi nyingine za hapa na pale.

Usifanye makosa, kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa kila siku tunawaambia lakini huwa hawasikii. Wanapenda sifa za kusoma ma kozi hayaeleweki af wanakuja kulialia hapa.

yani hapo umemuambia asome diploma sijui kama anakuelewa yeye anawaza degree tuu. hizi elimu huwa zinawafanya watu wawe vipofu
Nilichogundua wanadhani diploma wanasoma waliofeli au wanafata mkumbo tu waonekane wapo chuo, maamuzi madogo tu ya siku moja yanaweza yakagharimu maisha yote,

Hapo kama akisoma Electrical engineering miaka 3 ataamua mwenyewe ajiajiri au akaendelea na Degree tena miaka inapungua...

Kazi kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wanajukwaa

Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo

Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe wakubwa naomba mchango wenu wa hizi kozi ni nzuri au nipige chini. Na naomba ushauri wa kozi nyingine nzuri.

nimesoma PCB nina two ya 12 nina D flat na bam na GS ni E zote msaada wenu tafadhali.
Mzigooo huu unakufaaa saanaView attachment CAREER AND COURSES TIPS.pdf
 
Habarini wanajukwaa

Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo

Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe wakubwa naomba mchango wenu wa hizi kozi ni nzuri au nipige chini. Na naomba ushauri wa kozi nyingine nzuri.

nimesoma PCB nina two ya 12 nina D flat na bam na GS ni E zote msaada wenu tafadhali.
Omba MD.
 
Nilichogundua wanadhani diploma wanasoma waliofeli au wanafata mkumbo tu waonekane wapo chuo, maamuzi madogo tu ya siku moja yanaweza yakagharimu maisha yote,

Hapo kama akisoma Electrical engineering miaka 3 ataamua mwenyewe ajiajiri au akaendelea na Degree tena miaka inapungua...

Kazi kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hiyo electrical kama hana passion nayo,atasoma na atafaulu lakini apps yake mtaani zero
 
Chemical engineering, oil and gas, na Mining engineering nazo usiguse kabisa,...

nzuri za kusoma ni Electrical engineering, science and laboratory technology ( hii juzi niliona Muhimbili hospital wametoa nafasi za kazi), Food science and technology.. Biomedical engineering, mechanical engineering na civil engineering na biotechnology.

Ngoja nkushauri kitu ukinisikiliza hutokaa ujutie, PCB ukishakosa kozi za Afya kwenda degree ni heri ughairishe ukaombe diploma,

kuna kaka yangu alikosa nafasi ya kwenda kusoma MD degree.. Akaambiwa atulie aombe mwakani au atafute kozi kwa ngazi ya diploma asome alikuwa na mchecheto wa Boom sijui akang'ang'ania kwenda kusoma Bachelor science in Physics mpaka leo hiii hana ajira kwa icho alichosomea, ni mwalimu tu wa physics wa twisheni hizi na kazi nyingine za hapa na pale.

Usifanye makosa, kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima PCB akasome kozi za afya,

Inaonekana ,bado mwanafunzi wa chuo wewe
 
Mwanakulatafuta acha kumpotosha kijana mwambie akasome anachokipenda,

Hata kama ataamua kusomea ufundi magari kama anapenda lazima atatoboa tu
 
Acha kumpotosha ,

Kwa PCB sifa anazo lakini,hatopata MD hata hiyo chemical engineering ndio asahau kabisa maana hana Advanced math
 
Kwani wewe ndio unadahili. Kama ana bahati anaweza kupata. Kwamba io flat D wameweka tu.
Kuhusu Advance math. Mara zingine huwa wanaangalia basic math ya O level au bam.
 
Kaka

Kwa tz hii hakuna kozi utaingia ya engineering ,hauna Advanced math,

Bam sio hesau,ni app to mathematics!

Tunapozungumzia math tunamaanisha advanced math (pure)

Ili uqualify kusoma kozi yoyote ya engineering tz with exception to Agric & irrigation za Sua,

Ni lazima use umesoma na kufaulu Phy na math (kwa hapo wanaokidhi vigezo ni pcm na Pgm tu)

Wakati wa kikwete,walichukuliwa hadi PCB not this time!

Kuhusu MD hatopata kwa sababu ya ushindani hivyo,usimdanganye maana atajikuta anakosa chuo hadi 4th round! Na ukisoma TCU guide book wameeleza uangalie ushindani before applying

Thanks
 
Back
Top Bottom