Naomba ushauri tafadhali....



salute mkuu km mpk hapa hajaelewa basi tena..
 
umesema mnaishi mikoa tofauti, huwa anajuaje kama umekwenda sehemu? Au huwa unajuaje kama kanuna wakati mnaishi mikoa tofauti? Au mkitembeleana wikiendi baada ya kusalimiana mmoja wenu anakwenda kutembea sehemu?

Kila nako enda lazima nimwambie ndo anachotaka hasa safari za mbali kidogo na home na kununa utaona tu respond zake kwenye cm
 
mweeee
kimbia ufe... huo moto kwenye ndoa utauzimaje?? watch out
 

kwanin awablock hao wasichana ukiwa nae? sasa kama umeshamuonya na bado hataki kubadirika ujue huyo ana matatizo, fanya maamuz yaliyo sahihi maana naona na ndoa nayo inakuita..
 

asante xana ndugu hapa pameeleweka
 
mh! mpnz huna mwanaume hapo!! ka uamini subil utaletewa watt ka 7 hv wa nje
 
unataka ushauriwe jinsi ya kuishi na troublemaker kwenye ndoa yako? maana umeshaconclude kuwa utaolewa nae.
 
Asante.....
Kwa ndugu na rafiki anajulikana kama mtu mmoja mstaharabu sana na hashauriki na mtu yoyote...

sikia dada yangu Filomena, maisha haya ni mafupi sana na sidhani kama upo tayari kupoteza muda wa maisha yako kumshughulikia mtu ambaye haipiti wiki bila kugombana, anachat videmu vyake pindi upo mbali naye na kadhalika.. umejaribu kumvumilia ukitegemea atabadilika lakini wapi.. sawa unapenda lakini ndio hivyo tena jamaa hasomeki na hashauriki! sometimes tunahitaji kuwaacha tuwapendao si kwa sababu hatuwapendi, hapana, bali kwa sababu wao ndio hawatupendi tena na mioyoni mwetu tunajua watatusababishia matatizo na maumivu tukiendelea kuwa nao. ni heri waende, huwezi jua Mungu amekupangia nini.
 
Nice advice indeed....dalili za mvua ni mawingu....Nadhani bi dada anajua it wont work anataka kupewa big up tu kwamba she is doing the right thing...Coz i have been there once,and i really thought to myself this person who makes my life so miserable a living hell is supposse to be my husband...and i said NO :nono: i won't let this humanbeing take me down...coz he caused enough damage already,its just gonna get worse and i deserve better!!And actually nikafanya kama ulivyomshauri bi dada nikwambia its over na nikamsahau...not to my surpise he never cared....kaja kunitafuta after 4months....and by that time i was so over him....like i didn't even feel a thing for him...he was this worthless human being to me...Mazoea yana tabu sana Eiyer...ndio kitu pekee kitakachompa shida huyu dada....kuachana na mtu alomzoea na kujipanga upya!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume umezaliwa nae? Au hadi akuletee ukimwi ndo utaridhika? Au umeambiwa ndo mwanaume pekee aliyepo chini ya jua???
 

Thanx shoo ya kibabe🙂
 

Thanx mimi49
kuna vitu huwezi amin kama vinatokea kwako mbaya zaidi mpaka yupo hapa nilikuwa nam support sana mpaka kapata kazi kama unavojua nilikuwa radhi kumuibia hata vitu home hata kujinyima apate ya matumizi ili asijisikie vibaya na maisha ya kutafuta kazi sasa naona halioni hilo mamiii....
 
Last edited by a moderator:
Kama nuchumba ndio uko hivyo ukiingia ndoani basi andika maumivu, uzoefu ni kuwa watu wengi huwa wanaenjoy na kufurahia maisha yao ya uchumba ila kwako daaah pole sana, naogopa kukushauri uachane nae kwa kuwa haya ni maelezo ya upande mmoja na sijui na yeye anasemaje ila naona kwa mbali kuwa unaelekea kuwa desperate wife.... sogeza muda wa kufunga ndoa ili mchunguzane zaidi.

 
Huyo mwanaume umezaliwa nae? Au hadi akuletee ukimwi ndo utaridhika? Au umeambiwa ndo mwanaume pekee aliyepo chini ya jua???

Hapana moyo unaenda popote utakapo amua na hasa ukiwa strong unashinda hata akili ndomana naomba ushauri BADILI TABIA
 
Hata nyie akili zen zpo robo, mkishajua mnapendwa mnajiona kama malaika vile, hata nyie mnakera hamjui tu.

Unajua akili tunatofautiana sana na mwanaume na mwanamke ni vitu viwili tofauti atajua umuhimu wako baada ya kuondoka.

Anachekelea makosa anajua yupo sahihi cmlaumu sana kutokana na kila mtu ana uelewa wake.
Thanx mamito....
 

Thanx mwathu kwa ushauri....
 

Hakuna kitu kinaitwa kumbadilisha mtu, wasichana wengi tunapokuwa in love tunakosea sana kuamini kwamba tutaweza kumbadilisha mwanaume na kujikutana tunavumilia ubaya mwingi tunaotendewa matokeo yake tunaingia kwenye ndoa za mateso ambazo baada ya mwaka tu tunaanza kuhangaika kutaka kutoka, pole sana mana hapo huna mwanaume ndugu yangu na amini nakwambia baada ya ndoa atakuwa worse zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…