HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Naombeni ushauri wa kitaalamu Kwani nataka anzisha biashara ndogo maeneo ya vijijini kwa kutumia mfumo wa umeme jua (Solar).
Ndani ya business premise moja nitataka kuwa na uwezo wa kuchaji simu 150 kwa siku moja, mashine 2 za kunyoa, kuonyesha TV show kwa Flat Screen ya nchi 32, laptop 1 kwa ajili ya kuingiza nyimbo kwenye memory card pamoja na tubelight 6 kwa ajili ya mwanga.
Ushauri ninao hitaji ni kujua size ya solar panels, inverter, charge controller, battery na vinginevyo vitakavyohitajika kwa kuendesha mfumo huu.
Nikiweeza kupata na makisio ya gharama itakuwa vizuri zaidi.