Ndo maana upo Girl. Ndoa zina mengi na kama binti alikuwa anafanya sex kwa ajili ya kupata mtoto, akishazaa hamu inaisha na itaanza tena wakati akitaka mtoto mwingine. Uvumilivu kwa mwanaume ndiyo silaha ya kushinda hii hali. Kiuhalisia ndo maana wauza sukari hawaishi mijini na wanaokoa ndoa nyingi kuvunjikaHakika aisee yan kuna wadada wanamaudhi kweli eti akipitiwa na usingiz asiamshwe??? hahahahaaaa. if I were a boy........... angesanda
Watu 8 wewee.Hivi jamani kati ya sikio na kidole kipi huwa kinamchokoza mwenzake?
Hivi jamani kati ya sikio na kidole kipi huwa kinamchokoza mwenzake?
Kuna wengine wanazo, ukitaka kuondoka unaulizwa kama mfukoni una hela, ukisema sina anakupa laki tano. Hivyo mbinu yako inategemeaUnapoenda kazini acha hata ka LAKI kamoja hapo mezani then ukiwa kazini m text kuwa hizo ni zako za matumizi yako binafsi! Ukifanya hivyo hata urudi saa 8 usiku atakusubiri tu tena utakuta kanywa na kahawa kabisa ili asilale!! Mkono mtupu..........?
Ndo maana upo Girl. Ndoa zina mengi na kama binti alikuwa anafanya sex kwa ajili ya kupata mtoto, akishazaa hamu inaisha na itaanza tena wakati akitaka mtoto mwingine. Uvumilivu kwa mwanaume ndiyo silaha ya kushinda hii hali. Kiuhalisia ndo maana wauza sukari hawaishi mijini na wanaokoa ndoa nyingi kuvunjika
Wauza sukari wana nafasi yake katika ndoa ati.Asante inaonekana una udhoefu.wa muda mrefu asante.... mchepuko ndiyo dill
Mwanaume mwenye aibu atakuwa shoga
Sorry shosti nilimanisha mwanamke ameubwa ni mwenye aibu..
Wauza sukari wana nafasi yake katika ndoa ati.
Nimekaa na mke wangu miaka miwili sasa, tuna mtoto 1, kinachoniumiza kichwa, mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala.
Je hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anahamu lakini hawezi kuniambia.
Hii ikoje wadau?
Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako.
Kuna wengine wanazo, ukitaka kuondoka unaulizwa kama mfukoni una hela, ukisema sina anakupa laki tano. Hivyo mbinu yako inategemea