Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

Na iyo mwakani sifa unazo lakini mana si tunaingia third round tuna GPA ya 3.4 bado Ndalichako anatufikiria hatujachaguliwa, lakini kuna watu wana GPA 3.0 wamechaguliwa tokea first round sijuw wametumia formula gani nchi yetu mashaka matupu ata ukitaka kusoma pia ni shida ukiacha nishida ukisoma ni shida
ndio nina CCD EGM
 
nenda MUM wanapokea maombi kisha wanatuma jina lako TCU linaingizwa kwenye system ....usiogope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom