Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

Nenda direct chuoni wanaweza kuku consider vyuo kama Tumaini na MUM wana dahili direct pia ukiachana na TCU.
 
Inabidi tu uvumilie mwaka huu mmoja. Then next intake utaomba na utapata, inshaAllah.

-Kaveli-
 
Nenda direct chuoni wanaweza kuku consider vyuo kama Tumaini na MUM wana dahili direct pia ukiachana na TCU.

Mie pia nimesikia hilo. Kwamba baadhi ya vyuo ukienda kuapply direct chuoni, wanaweza kukuconsider.

-Kaveli-
 
Mie pia nimesikia hilo. Kwamba baadhi ya vyuo ukienda kuapply direct chuoni, wanaweza kukuconsider.

-Kaveli-
Yeah, it's real tena hata UDOM sema kwa sasa itakuwa too late!
Ila hivyo vingine anaweza kupata.
 
Yeah, it's real tena hata UDOM sema kwa sasa itakuwa too late!
Ila hivyo vingine anaweza kupata.

Good. Then let her give it a shot. Ajaribu bahati yake.

We never know. She may probably secure an Admission.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom