Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,108
- 10,478
Vipi dada..!pouwa ila anabohaa
Umefikia wapi kulingana na ushauri uliopewa humu..!?
Vipi dada..!pouwa ila anabohaa
Jaribu mount meru wanapokeajamani naombeni ushauri nifanyaje mana tcu wamesema kuaply tena mpk mwakani
Vipi dada..!
Umefikia wapi kulingana na ushauri uliopewa humu..!?
Sawa...Hatimaye tcu wamefungua system nashukuru kwa walionishauri
oky thanksSawa...
Ukipata chuo ukasome sasa..!
Achana na CHOKOZA CHOKOZA,zitakuharibia masomo..!