Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Apply dip
Wajaribu na hawa nafikiri unaomba chuoni directly (wao ndio wanamalizana na TCU kama MUM). Wana mpaka Economics na pia Islamic Banking na Finance. Site yao ni Zanzibar Universityouky asantee nitajaribu kwenda
Daa pole kaka sikilizia next yearwameruhusu lakn co new aplication n kwa wale waliotemwa first na second round
vinadaili direct sawa ila taarifa zako lazima zipelekwe tcu ndugu kudhibitisha kama umekizi vigezo usika tcu aikwepekiNdio hiyo ni kauli tu kama kauli nyingine ila MUM na Tumain ni miongoni mwa vyuo ambavyo vinadahili direct
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Apply upya mwakani, sema jitahidi upate elimu ya kuapply pale muda utakapofikajamani naombeni ushauri nifanyaje mana tcu wamesema kuaply tena mpk mwakani
Apply mwakani, na jitahidi upate elimu ya kuapply ili usije pata misukosuko ya kutemwa na tcu, Usirush things kama umechelewa, All da bestjamani naombeni ushauri nifanyaje mana tcu wamesema kuaply tena mpk mwakani
vp na wew ukuaply?TUKAANZE DIPLOMA TU SIS
vigezo ninavo kaka kuhusu vigezo aina tatizovinadaili direct sawa ila taarifa zako lazima zipelekwe tcu ndugu kudhibitisha kama umekizi vigezo usika tcu aikwepeki
Yeah, it's real tena hata UDOM sema kwa sasa itakuwa too late!
Ila hivyo vingine anaweza kupata.
EEE NA SASA NIMEAMUA KUOMBA DIPLOMAvp na wew ukuaply?
OK SUBIRI MWAKANIvigezo ninavo kaka kuhusu vigezo aina tatizo
kwani wew ilikuwaje una vigezo?EEE NA SASA NIMEAMUA KUOMBA DIPLOMA
OK SUBIRI MWAKANI
NNA SDDkwani wew ilikuwaje una vigezo?
kama course gani gani kakaTafuta course nyngne ukasome utatoka maishan
NNA SDD