Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

Na iyo mwakani sifa unazo lakini mana si tunaingia third round tuna GPA ya 3.4 bado Ndalichako anatufikiria hatujachaguliwa, lakini kuna watu wana GPA 3.0 wamechaguliwa tokea first round sijuw wametumia formula gani nchi yetu mashaka matupu ata ukitaka kusoma pia ni shida ukiacha nishida ukisoma ni shida
 
Acha kutusumbua akili kama hukuomba sasa sisi tukusaidie nini... Alafu mijitu mingine humu ni kutafuta kiki tu... Mbona TCU wameshaachia system na watu wanaaply kwa awamu ya Tatu....
 
pole kaka utachaguliwa wait
 
Acha kutusumbua akili kama hukuomba sasa sisi tukusaidie nini... Alafu mijitu mingine humu ni kutafuta kiki tu... Mbona TCU wameshaachia system na watu wanaaply kwa awamu ya Tatu....

kaka soma vizur post...ujisikii kutoa ushauri pita wenzio watasema wanachojua oky?
 
Back
Top Bottom