Naomba ushauri pls!

U just 2lia na huyo mzaz mwenzio mlee mtt wenu coz malez ya mama wa kambo c mazur xana ilihal mama mzaz yupo hai.... Dats ol bro
 
sikulaumu, ila namlaumu huyo dada aliyezaa na mtu asiye na msimamo na asiyempenda. tatizo hawa akina dada wezangu wanazaa kama wanyama hawaangalini ni lini anatkiwa kuzaa na anatakiwa kuzaa na nani. ogopa watoto kuwa na Father badala ya Dady.
Na mapenzi yalivyo unaempenda hakupendi, anaekupenda humpendi, huyo mzazi mwezako anakupenda ila wewe humpendi na huyo mwingine Unampenda ila kaa ukijua yeye hakupendi. Tafakari chukua Hatua
 

Nimekupata miss na nimewaelewa pia ictoshe mapnz ndg c kufuata tu moyo maana wengine utafuata moyo halafu hana future yoyote na ww,nimepata na ushaur wa watu wazma,vjana na hata walio kwenye ndoa zao zenye amani,nimeamua kulea mtt and im happy sana ss maana niko huru cnc jana na hm pako.na furaha hakuna mfano yaan mtt yuko happy mama ndio ucsem ila nina kazi ya kumieka ake nipendavyo mm na ibavyohtajika mwanamke akae kwenye.ndoa ndg
 
ndg,
mm nakushauri kuwa nidhamisha kwanza tamaa zako, pia wasema wote wakorofi japo huyo wa Mwanza afadhali kidogo, JE ukimpata mwingine mstaarabu c utwaacha wote
 
Nimekupata ndg,im happy nw hapa nimetok shopping ya xmass na mzaz mwenzangu,tuko happy sana,thnx
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…