Naomba ushauri, nitamkosa binti kisa kipato kidogo

aiseee ivi bado kuna wazee maboya kiasi iko............baba anamtaftia binti mtu wa kwenda kumla??????????????? msikilize binti ye ndo mwenye uamuzi wa mwisho saivi akuna mtu anayeuzwa bila ruhusa yake bana

sure.......
 
Hodi kwa mara nyingine tena wana jamii,

Bila shaka mu wazima wa afya tele. Ndugu zangu nimekuja jukwaani hapa kwa mara nyingine nipate msaada wenu wa kimawazo ni kwa namna gani naweza kuvuka huu mtihani uliopo mbele yangu. Bila kupoteza muda nianze kama ifuaatavyo;

Mwaka 2103 nilipanga kuwa ifikapo 2104 nitaacha kazi na kujiajiri kwani nilipenda sana kufanya shuguli zangu binafsi tangu nikiwa mdogo(nilipenda kujiajiri), hivo basi ilipofika 2014 kweli nilifata taratibu zote za kuacha kazi na hatimaye nikaacha na kuamua kujiajiri Namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri japo changamoto zipo ila naamini ipo siku nitafika.

Kiukweli shughuli zangu bado siyo kubwa sana hivo napata mapato kidogo tofauti na kipindi nilipo kuwa mwajiliwa nilipokuwa nikilipwa pesa niyngi, Sasa tatizo liko hivi:

Kuna binti ambaye ninaye kwa muda wa miaka 4 sasa na mipango yetu ilikuwa mwakani tuoane lakini mpaka sasa nimekutana na vikwazo vingi sana ambazo kiukweli vinaniumiza na kufanya utendaji wangu wa kazi upungue.

Kiukweli binti aninipenda sana nami nampenda mno tatizo ni wazazi wake hawataki binti yao aolewe na mtu ambaye mwenye maisha kama yangu(maisha ya wastani tu), wanataka aolewe na mtu mwenye pesa na aliye mtumishi au muajiriwa katika kampuni yoyote kubwa.

Kwani binti yao kamaliza chuo mwaka jana sasa mzee wake alimtafutia mtu ambaye ni bosi katika shirika flani hapo Dar na anahitaji binti yake aolewe na huyo jamaa, kiukweli inaniuma sana mpaka inafika hatua najutia kujiajiri.

Binti anaonekana kutokukubaliana na wazazi wake na hataki kwenda Dar kwa huyo jamaa japo mzee wake kamwambia amemtafutia na kazi hivo anatakiwa aende kufanya kazi huko.

Sifa za wazazi wa binti ni kama ifuatavyo

1. Ni waajiriwa katika mashirika ya flani ya kigeni hapa Mkoani.

2. Ni kabila lingne tofauti na mimi

Naomba niishie hapa kwani naamini nimeeleweka, nachoomba nisaidiwe ushauri nini cha kufanya ili nifanikiwe kuwashawishi wazazi wa binti waniozeshe binti yao kwani nampenda sana

Are you alright?
 
Oooooiii weee mtundike mimba tuu ataambiwa nenda kwa huyo aliyekupa mimba xo unajichukulia kiiuuulaiiiinii. Na mkome kuachaga kazi bila kuimarika kwanzaa coz wkt umeajiriwa nawe ungeanzisha hiyo biashara yako kipembeni ikaanza kuraan kwa 5yrs iimarike then ndio ungejimuvuzishia.
 
unajua mi ninavyojua mapenzi ni ya wawili..........na huyo binti inaonyesha hana msimamo na wazazi wke hawampendi mana wangekuwa wanampenda wangemwacha awe na anayempenda........na kama umesoma kam ulivyosema na wazazi wanauwezo wa link si wakuungnishie pazuri iliupate mapesa?...na iyo biashara au mradi utaukodisha au na wewe kuajiri?
TAFAKARI SANA NDUGUMAISHABADO YAPO MBELE YAKO WASIKUCHAGINYI!!
 
Nilitaka kukushauri lakini stori yako imenikumbusha jambo moja hivi likanitoa kwenye "mudi"

Huenda nikarudi kukushauri .....!
 
Wanawake wako wengi katika nchi hii. Usiruhusu matatizo ya mtoto mmoja wa kike yakuharibie maisha yako. Jijenge kwanza wewe, maana maisha yako ni muhimu kuliko hiyo pussy unayoililia.
 
kama huyo binti anajielewa na anakupenda nadhan atajua cha kufanya
 
we are victim, pole japo mimi nitofauti kidogo
 
Back
Top Bottom