kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Unachart na simu mbili we mwenyewe? Ni moja ya maajabu ya vijana wa sasa kuwaza walipo tokea kuliko wanapo ekekea
Ayo ni mawazo yako pia.Unachart na simu mbili we mwenyewe? Ni moja ya maajabu ya vijana wa sasa kuwaza walipo tokea kuliko wanapo ekekea
wapi na wapi watoto wa jf?. basi tu nakumbuka post zake za kizungu,Eti ni kweli ulishamtongoza huyu jamaa au unasingiziwa tu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] REAL1una nyota ya ukimwi wewe
hapo kweli....Msimponde..
mkuu weka picha yako labda tutajua sababu hasa tukushauri vyema!!!
....dah shukuru mungu maana wanaume wengine.....hawanaaa bahati ya kutongozwa ...bali wao wakitongoza wanakataliwa na matusi juuu.....wanakimbilia kupiga PUNYETO TUUU MAISHINdugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.
Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa nimesha anza process za kuchumbia.
Tatizo kubwa napata changamoto kipind hiki. Changamoto kubwa nayopata ni kutongozwa sana na mabint / wasichana / wanawake. Wengine jamani mpaka nawakimbia utadhani mimi ndyo mtoto wa kike anavyokimbia wanaume. Hii inanifanya nijisikie vbya ninavyowapiga chini hawa madada. Muda mwingne naisi wanaweza fikiri am gay. Na sio kuwa siwapendi. Mi pia nawatamani kwa matumiz ya binadamu.
Next week naanza kuishi na mchumba wangu nayetarajia kumuoa wakati kunawanawake kibao wanataka kuja kwangu mimi sitaki. Nimehama kwenye appartment nayokaa kimya kmya ili hata wale waliokuwa wakijua kwangu niwapoteze kabsa. Kuna mabiti wengine wamekuwa wakija kwangu hata usiku wa manane mimi bila kuwaita wala kuwa na taarifa.
Hata navyo andika huu uzi hivi sasa kuna binti nimekutana naye leo kaniomba number. Toka mchana text kibao na mimi si mpenzi wa kuchat. Ona sasa kaisha anza nitongoza.
View attachment 413552
Point to note. Mimi sio HB kivile. Sina pesa kivile. Sijuagi hata kutongoza. Na sijawai kutongoza msichana toka nizaliwe. Ila nimekuwa nkitongozwa toka mdogo.
Jamani naombeni mnipe ushauri. Huwa spendi kumkatalia mwanamke iyo ndyo weakness niliyonayo. Wengine wanakuwa vinganganizi. wanangangania kama kupe hata nikiwaeleza kuwa nina mchumba tiyar, wao wanataka nichepuke tuu.
One night stend nilizoisha kutana nazo znanitosha. Ningependa kutulia na kuoa sasa. I need 2 hv ma family. Nacho hofia je nitatulia kwenye ndoa? Hii michepuko kupe nitaikwepaje?