Naomba ushauri: Nioe au niindelee kula ujana

Naomba ushauri: Nioe au niindelee kula ujana

We jamaa utakuwa kaoge si bure.
Lakini cha msingi hili tangazo kalilipie TRA.
 
Oa, acha uzinzi brother, jifunze kuignore wanaojitongozesha kwako, jifunze na kusali maana Ibilisi anatumia wanawake kutaka kukuharibia.
 
Hivi mwanamke gani anataka dume bwege kama wewe...hivi umejitutumua kweli ukachelewa kuwapeleka hata watoto wa dadaako shule(maana unaonekana unaishi kwa shemeji wewe) unaandika maujinga, kweli ndo maana midume mingine mnatongozwa kufumuliwa marinda maana mnajiweka kwenye udada...Sema najiuza ili wapenda ndogo wakutafute
Hahaaha mwanaume wa dar
 
Huyo bado dogo uchumi huu bado unawaza mademu kwa hakika una kaz ngumu mpaka uzeee
 
Hivi mwanamke gani anataka dume bwege kama wewe...hivi umejitutumua kweli ukachelewa kuwapeleka hata watoto wa dadaako shule(maana unaonekana unaishi kwa shemeji wewe) unaandika maujinga, kweli ndo maana midume mingine mnatongozwa kufumuliwa marinda maana mnajiweka kwenye udada...Sema najiuza ili wapenda ndogo wakutafute
Kasema yeye cio HB, hana hela sasa hao madem wanatakann, anazingua msenge huyo
 
Anza kutafta kiwanja makaburini maana mpaka unatongozwaaa c buree
 
Anza kutafta kiwanja makaburini maana mpaka unatongozwaaa c buree
Mi nimeomba ushaur. Sijalazimisha mtu kucoment. Kma huna cha maana kaa kmya.
Naona ni kama umekuja kujipa promo jinsi unavyotongozwa na madem...

Kasema yeye cio HB, hana hela sasa hao madem wanatakann, anazingua ****** huyo

Ujana utakukula wewe!

Hahaaha mwanaume wa dar
 
Kwa huo mchatishano wa meseji, uliotawalia na uandishi wa kifesibuku nimebaini wote nyinyi ni wanafunzi wa Mbeya day,

Ushauri; Zingatieni Masomi, Mwl Frank yupo Zamu
 
hili nalo ndio unataka tukushauri km uoe au uache???????????? kwani kutongozwa ni ajabu au ndio mara yako ya kwanza.
ila ht mimi nakupenda😛
 
Hatar sidhan kama huyu ni mwanaume halisi ,,, wadau ambao jinsia yao ya kiume kweli huyo anaweza kuwa mwanaume kweli ,,, uwiiii maskini tangu ukiwa mdogo unatongozwa wew si mzima hakika hadi nimeogopa
 
Nitafte Private. Baada ya hpo ndyo utakuja tangaza vizur kama ni mwanaume halisi au laa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom