Naomba ushauri ninunue simu ipi kati ya hizi?

Unashangaa 15W? High-end Kama note 10+ na ndugu zake chaja zao Ni mpaka 45W.
Sawa chief! Napenda kujua jinsi ya kuitambua simu original ya Samsung maana nimeshashikishwa copy sana now nimechoka nahitaji kupata original so naitambuaje?
 
Chief unazizungumziaje suala la performance na other factors hz Samsung A10s naona zimeanza kuingia mtaani..nimeona zinatumia mediatek helio p22..wameongeza camera compare ma A10 ya kawaida ila kioo wameweka TFT display...pia nimeona specs za A30s...resolution ya simu wameshusha kutoka 1080p ya A30 mpk 720p.
Sometime unakurupuka asubuhi umesahau kuchaji simu, ukiwa na fast charge kitendo Cha kwenda kuoga na kuvaa dakika kama 30 unakuta simu Ina asilimia 80 tayari. Inasaidia Sana kusema kweli.
 
i know that, 15W ni kubwa mno kwa charger , ina maana ina supply amps kama 15/4.2 = 3.6 A ivi ( kwenda kwa battery) , ni too much kwa circuitry ya simu ku handle kiasi icho , izi ni 'mobile bombs' basi tu

na hatari ni pale battery inapovuta (charging) au kutoa (discharging) amps kubwa, na ndio sababu kubwa kwanini izi S6 and above zina over heat mno
Kwaio ndo unaona ni bora kutumia S4 kushuka chini
Kuliko kutumia A20? Hahahaha
 
Chief unazizungumziaje suala la performance na other factors hz Samsung A10s naona zimeanza kuingia mtaani..nimeona zinatumia mediatek helio p22..wameongeza camera compare ma A10 ya kawaida ila kioo wameweka TFT display...pia nimeona specs za A30s...resolution ya simu wameshusha kutoka 1080p ya A30 mpk 720p.
Inategemea na Bei mkuu, Kama A10s itakuwa Bei rahisi zaidi Ina make sense Ila Bei zikiwa Ni kama zinalingana A10 ya kawaida ipo fresh, na advantage kubwa ya A30 Ni hiko kioo Kama wamekipinguza na Bei still ikawa ghali kuliko A20, then A20 itakuwa deal zuri zaidi kuliko hio.
 
Sawa chief! Napenda kujua jinsi ya kuitambua simu original ya Samsung maana nimeshashikishwa copy sana now nimechoka nahitaji kupata original so naitambuaje?
Kikubwa Ku Google specifications za simu ie GSMarena then Uta compare na device ukiwa nayo dukani.

Pili Functional test tafauti through codes.
*#00*# kwa Samsung
*#06#
And much more.

Tatu Unaweza Install Apps kama CPU-Z ama Phone Info kwa Samsung.

Ila tatizo Kubwa kwenye Samsung na Iphones sio Kua "Genuine" ila ni refurbished products from China. ie Most of them Sio actual brand new ni Renovated.

Hizi A series bado Actual brand new with a sealed box.
Na Zina 24 Month Samsung Warranty.

Though copy zake pia nimeawahi kuziona mzee.
 
Kumbe A series zina copy...I never knew it before..na vipi price yake zinaendana na genuine au zinadiffer?

Vipi kuhusu processor ya MTK ya A10s itaperform better kama A10 au ndo ivo bora liende?
Inategemea na Bei mkuu, Kama A10s itakuwa Bei rahisi zaidi Ina make sense Ila Bei zikiwa Ni kama zinalingana A10 ya kawaida ipo fresh, na advantage kubwa ya A30 Ni hiko kioo Kama wamekipinguza na Bei still ikawa ghali kuliko A20, then A20 itakuwa deal zuri zaidi kuliko hio.
 
Kumbe A series zina copy...I never knew it before..na vipi price yake zinaendana na genuine au zinadiffer?
Sijajua wanaouza wao wananua kwa price list gani,
Lakini nimeshawahi ona mkorosho (copy) ya A10
 
Back
Top Bottom