Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
omba community health au pharmacy ngazi ya certificate
Procurement atapotea kwa kipindi hiki cha SIZONJEjaribu kuomba certificate ya nursing na certificate ya accounts, au procurement
Duuh, we sio wa spoti spotiWasiliana Na Bashite akurekebishie cheti mzoefu sana
Kuna nafasi za kusoma Uganda. .njoo inboxHabari zenu...
mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016
matokeo yangu nimepata DIVISION IV ya 27
ambapo alama zangu ni
CIVICS D
HISTORY D
GEOGRAPHY F
KISWAHILI C
ENGLISH C
LIT. ENGLISH F
PHYSICS F
CHEMISTRY D
BIOLOGY D
MATHEMATICS F
Hivyo wakuu naomba mnishauri nikasomee course au kitu gani hasa katika upande wa AFYA au BIASHARA
Naombeni msaada maana mie kila nnachofkiria naona sicho
NATANGULIZA SHUKRANI...........
Bado kuna mtu anampa ushauri eti anaweza kupata nafasi Stamford na Cambridge. Yaani ukose chuo Bongo halafu upate CAMBRIDGE, Jamani tutoe ushauri wa faida na sio exaggeration kama hii
Hivi mtu kapata mswaki Kwenye huu mtihani aafu unamshauri akasome medicine??
Kwanza kitendo tu cha kuwa na F Kwenye cheti chako inaonesha how not smart you are.
Umeshindwa hata kufanya selection ya vitu muhimu vya kukomaa navyo.
Vitu Kama medicine, engineering, architecture havitaki kubahatisha bahatisha.