Naomba ushauri nini nikasomee kwa matokeo haya

Habari zenu...
mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016
matokeo yangu nimepata DIVISION IV ya 27
ambapo alama zangu ni
CIVICS D
HISTORY D
GEOGRAPHY F
KISWAHILI C
ENGLISH C
LIT. ENGLISH F
PHYSICS F
CHEMISTRY D
BIOLOGY D
MATHEMATICS F

Hivyo wakuu naomba mnishauri nikasomee course au kitu gani hasa katika upande wa AFYA au BIASHARA
Naombeni msaada maana mie kila nnachofkiria naona sicho
NATANGULIZA SHUKRANI...........
Kuna nafasi za kusoma Uganda. .njoo inbox
 
7b6e29463a18c1338aa722e72b69d883.jpg



ca12d363a78817f750df6dd4da20df4e.jpg


Hivi mtu kapata mswaki Kwenye huu mtihani aafu unamshauri akasome medicine??

Kwanza kitendo tu cha kuwa na F Kwenye cheti chako inaonesha how not smart you are.
Umeshindwa hata kufanya selection ya vitu muhimu vya kukomaa navyo.
Vitu Kama medicine, engineering, architecture havitaki kubahatisha bahatisha.
Bado kuna mtu anampa ushauri eti anaweza kupata nafasi Stamford na Cambridge. Yaani ukose chuo Bongo halafu upate CAMBRIDGE, Jamani tutoe ushauri wa faida na sio exaggeration kama hii
 
Nenda certificate in business administration then diploma in business administration af malizia na specialist program either in accounting, marketing etc.
 
Back
Top Bottom