Naomba ushauri, nina Kesi ya madai

Habari za leo ndugu zangu,

Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.

Je, nifanye nini kwa sasa?
Bilashaka hukumu ilishatoka, huna njia nyingine yakuendelea kujadili uhalisia wa deni mbali na kuikatia rufaa hukumu ikiwa kweli unazo nyaraka zinazothibitisha uhalisia wa hicho unachokisema.

Ingawa hujaweka wazi swala lilivyokaa kwamapanayake, lakini kwataratibu za kisheria hususani katika swala la madai hizo nyaraka ulipaswa kuziwasilisha kama utetezi kabla ya hukumu kutolewa.

UNAWEZA KUWASILIANA NA MWANASHERIA WAKO ILI AWEZE KUKUONGOZA.
 
Habari za leo ndugu zangu,

Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.

Je, nifanye nini kwa sasa?
Nenda haraka kafanye maombi ya stay of execution na fungua maombi ya rufaa
 
Habari za leo ndugu zangu,

Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.

Je, nifanye nini kwa sasa?
Kukazia hukumu maana yake alikushinda kwenye kesi ya msingi. Tuambie hiyo kesi ilivyoenda kabla ya hii hatua ya kukazia hukumu.
 
Back
Top Bottom