Naomba ushauri: Nimuoe yupi kati ya hawa?

Mmmh hatar sana aisee, ww unadhani kati ya hao nani aliyetayari kuolewa na ww.....possibly na wao wako dilemma hawajui aidhaa waolewe na ww ama laa
 
Sitaki kuamini kama tumefika huku , yaani umchagulie mtu mke kwenye mtandao halafu akiishi nae yeye .
Interesting..
 
Utakapokuwa tayari kuoa utajua umuoe yupi, kwasasa endelea tu kurukaruka.
 
Ukiona umekuwa na mwanamke wa kwanza kisha ukaamua kuwa na uhusiano na mwingine elewa kuwa unampenda zaidi huyo mwingine kuliko yule wa kwanza kwani kama ungekuwa inampenda yule wa kwanza usingekuwa na mwingine. Pili, ni bora uwe na shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu, wewe unadhani roho nzuri ankufanyia wewe na picha anakitumia wewe tu? Nadhani ili uwe fair huyo wa tatu ndo wife. Hahahaa
 
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she is so beautiful, ana nidhamu,mpole na mnyenyekevu na ananipenda pia ila hayupo romantic kabisa,Wa pili ye sijawahi kumeet naye tulikutana kwenye social media ananipenda sana and she is beautiful too,na amekua msaada mkubwa sanaa imagine hajawahi kuniona live zaidi ya picha na kuniona kwenye skype na imo lakini napohitaji msaada wake amekua muda muhimu sana wala hapigi vizinga kama wanawake wengine wa mjini..Wa tatu sema ukweli ni wa kawaida sana sio mzuri kihivo lakini she is very intellingent nje na ndani ya darassa,ana heshima sana,mnnyenyekevu kuliko mfano na anajua kutafuta pesa ana biashara zake uku anasoma na ye kawa msaada mkubwa sana napokwama kwa mambo mbali mbali kwakweli sijui nichague yupi wadau nisaidieni
Mzuri ni yule anaekupenda kwa dhati, kwa hiyo kati ya hao changu anaekupenda sana kuliko wote
 
Wa tatu sema ukweli ni wa kawaida sana sio mzuri kihivo lakini she is very intellingent nje na ndani ya darassa,ana heshima sana,mnnyenyekevu kuliko mfano na anajua kutafuta pesa ana biashara zake uku anasoma na ye kawa msaada mkubwa sana napokwama kwa mambo mbali mbali kwakweli sijui nichague yupi wadau nisaidieni
Huyu ndie wa kuoa
 
Hivi kuna kale kawimbo cha wachumba thelathini ni wa nani tena..! Tuachane na hayo ya wimbo.! Ushauri ni huyo wa 3 kama ni mtafutaji basii maisha yatasonga koz kila siku jioni atauliza..."UMEINGIZA Shl NGAPI"
 
Angalia unahitaji nini kwenye ndoa? Halafu chagua ambaye anaweza kukupatia unachohitaji.
 
Hivi kuna kale kawimbo cha wachumba thelathini ni wa nani tena..! Tuachane na hayo ya wimbo.! Ushauri ni huyo wa 3 kama ni mtafutaji basii maisha yatasonga koz kila siku jioni atauliza..."UMEINGIZA Shl NGAPI"
RiP: John Mjema
 
muombe mungu wako sisi binadamu hatuna upeo wa kumchagulia mtu wa kuoa/kuolewa
 
Utafiti unaonesha asilimia kubwa ( 70% ) ya memba wa jf wameamua kumchagua huyu mwanamke wa tatu awe mkeo,
Hivyo unapaswa uoe huyu mwanamke wa tatu,
Wengine achana nao mapema.
 
Huna hata mmoja sema una genye, wenye madem hatuulizagi tunajuaga automatically
 
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she is so beautiful, ana nidhamu,mpole na mnyenyekevu na ananipenda pia ila hayupo romantic kabisa,Wa pili ye sijawahi kumeet naye tulikutana kwenye social media ananipenda sana and she is beautiful too,na amekua msaada mkubwa sanaa imagine hajawahi kuniona live zaidi ya picha na kuniona kwenye skype na imo lakini napohitaji msaada wake amekua muda muhimu sana wala hapigi vizinga kama wanawake wengine wa mjini..Wa tatu sema ukweli ni wa kawaida sana sio mzuri kihivo lakini she is very intellingent nje na ndani ya darassa,ana heshima sana,mnnyenyekevu kuliko mfano na anajua kutafuta pesa ana biashara zake uku anasoma na ye kawa msaada mkubwa sana napokwama kwa mambo mbali mbali kwakweli sijui nichague yupi wadau nisaidieni
Chagua mwenye makalio makubwa kati ya hao uoe
 
Mh wa 3
 
Back
Top Bottom