Naomba ushauri: Nimuoe yupi kati ya hawa?

Naomba ushauri: Nimuoe yupi kati ya hawa?

Naamin kati ya hao kuna mmoja unaempenda muoe huyo umpendae
 
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she is so beautiful, ana nidhamu,mpole na mnyenyekevu na ananipenda pia ila hayupo romantic kabisa,Wa pili ye sijawahi kumeet naye tulikutana kwenye social media ananipenda sana and she is beautiful too,na amekua msaada mkubwa sanaa imagine hajawahi kuniona live zaidi ya picha na kuniona kwenye skype na imo lakini napohitaji msaada wake amekua muda muhimu sana wala hapigi vizinga kama wanawake wengine wa mjini..Wa tatu sema ukweli ni wa kawaida sana sio mzuri kihivo lakini she is very intellingent nje na ndani ya darassa,ana heshima sana,mnnyenyekevu kuliko mfano na anajua kutafuta pesa ana biashara zake uku anasoma na ye kawa msaada mkubwa sana napokwama kwa mambo mbali mbali kwakweli sijui nichague yupi wadau nisaidieni
Oa wote mkuu mbn simple tuu
 
Nafsi yako inataka nini.......equation x

Yupi kati ya hawo ana khofu ya Mungu na ambae unadhn ataweza tunza family vzr.....equation y

solve the above equation dy over dx
 
Back
Top Bottom