mi ndo wa kwanza nilikata tiketi kabla afu movie haijanoga itabidi mnilipe fidia nyie maadui mnaanzaje kumuandama sterling mwanzo mwanzo lol
Ukibishana na mwehu utaonekana chizi jilaze kwa leo yamekutosha ck nyingine usidandie magari kwa mbele......tena unikome kunimention....uckurupukie watu ovyo wewe.......tena naona unanitaftia ban ya lazima
halafu na nyinyi msinitibue kabisa mtanisababishia BAN bure .
Mm sio mwongo kama nyie nyau nyinyi
hahahahha kumbe nyau anaweza kujisajili u member wa jf i wonder
sorry ndg tatizo na nyie mnaniandama kwa jambo ambalo hamjathibitisha. Hiki ni kia cha kweli lakn mnaniona mwongo
uki panic ndo utazidi kuonekana mwongo muhimu toa ushahidi ikiwezekana weka mpaka kadi ya clinic na barua uliyotoa posa
Huyo dada yako si ndio alikuwa anatoa mavi m.kun d.uni ulipokuwa unamgegeda!
Siyo maneneo yangu, ni maneneo yako kwenye moja ya sred zako.
Huyu jamaa fix sana,ila ndio hivyo jf imevamiwakabisa,bila kumbukumbu ni kuumbuka hadharani kama yaliyomkuta 75m
sion kama nmeumbuka wakat hiki ni kitu cha ukweli kabisa ila mm nawaona wao ni wajinga kwa kujifanya wajuaji na kuutaka umaarufu kwa mambo wasiyoyajua huu ni ushenzi kumhukum mtu kuwa ni mwongo pasipo kujua lolote
Habari yako umei fabricate tu!Haina ukweli wowote na hai make any sense hata kwenye hesabu za probability!
Anyway usi panic na kuanza kuandika lugha za mitaani hapa kuwatusi wana MMU!!Unachotakiwa kufanya ni kuomba radhi kwa uongo huu kwa members!
Kuomba kwako radhi usiichukulie kama ni adhabu bali ni uwajibikaji wa kujutia uongo wako!Tunasubiri
nani aombe radhi? Kwa lipi? Siwez kuomba radhi kwasababu ya fikra za kijinga za wachache
Mkuu lkn kuomba radhi sio adhabu bali ni kielelezo cha kujutia kosa lako!Kuomba radhi kutakuonyesha jinsi ulivyo pevuka kimaadili na sisi ukituomba radhi tutachukukia andiko hili lako kama "ulitereza" tu!
Tutakubali radhi yako;tutakukemea na kikubwa zaidi andiko lako litaondolewa hapa lisiingizwe kwenye hansard za MMU kukuokoa siku za baadae "wakorofi"akina watu8; Tyta na Rogie wasiweze kukunukuru ukileta habari kama hii!
Tunakusihi na tunasubiri
Malafyale huyu tumeshamuingiza kwenye hansard, anatakiwa kuhakikisha ana-mind his threads.Mkuu lkn kuomba radhi sio adhabu bali ni kielelezo cha kujutia kosa lako!Kuomba radhi kutakuonyesha jinsi ulivyo pevuka kimaadili na sisi ukituomba radhi tutachukukia andiko hili lako kama "ulitereza" tu!
Tutakubali radhi yako;tutakukemea na kikubwa zaidi andiko lako litaondolewa hapa lisiingizwe kwenye hansard za MMU kukuokoa siku za baadae "wakorofi"akina watu8; Tyta na Rogie wasiweze kukunukuru ukileta habari kama hii!
Tunakusihi na tunasubiri
bhana ee usinitafutie ban bure ntaombaje radhi wakat kisa ni cha kweli?
Uamin usiamin ni ww go to hell damn
Shauri lako tunalipeleka kwenye kamati ya maadili ya MMU!Ukubali adhabu yyt watakayokupa ili kurudisha heshima ya MMU inayotetereka kila siku
Iam out of this