Nimepitia mambo mengi sana ya ajabu-changamoto nyingi sana
Ni kijana mdogo tu miaka 27 lakini niliyopitia yanatisha.
Kwa sasa naona kabisa nimepoteza uwezo wa kujiamini,nashindwa kuisimamia misimamo yangu
Kila kitu naona kama kinafeli kabla hakijaanza.
Nashindwa kusimamia kile nachokiamini,nabadilishwa na mitazamo ya watu na changamoto za kawaida.
Nawezaje kujiamini tena