Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,763
- 225,532
His Word won't return to Him void without accomplishing what He desireOooooooooooh Yes.
It must succeed in matter for which He(God) sent it.
His Word won't return to Him void without accomplishing what He desireOooooooooooh Yes.
Hee huu ni usiku wengine vichwa vichafuOooooooooooh Yes.
Hapa umeongea point...duniani tunaishi mara moja tu
120000 ndo umetumiwa? Hao watoto wako vipi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Watoto umewasomesha na wanakazi lakini wamewahi kukutumia laki 1 na ishirini tu .... Daaahhhh kweli uwanaume Ni mateso
Hata hii ya kuoa mke mmoja kwenye Ukristo hata sijui ilianzia wapi. Mbona Agano la Kale mashujaa karibu wote wa imani walikuwa na wake kibao?Na hiyo ndiyo Raha ya uislamu..
Viongozi wa kikristo wakosee siku Mona waseme mwanaume wa kikristo aoe mke zaidi ya mmoja utaona vurugu lake
Mkuu; hivi utaratibu wa kusilimu ukoje?Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.
Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .
Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
His Word won't return to Him void without accomplishing what He desire
It must succeed in matter for which He(God) sent it.
Huwa najiuliza sana. Mfalme Suleman aliwezaje kufikisha wake mia saba? Alikuwa anatafuta nini?Mtu asiyeweza kuamua kuridhika na mmoja; hata apewe mia hatoweza kuridhika pia. Hatuoi/kuolewa na malaika; ila pamoja na mapungufu yao bado tumeamua kuwachagua na kuridhika na hao hao
Kwenye agano jipya nahisi..Kwani unakubaliana na uoaji mke zaidi ya mmoja?ndugu yanguHata hii ya kuoa mke mmoja kwenye Ukristo hata sijui ilianzia wapi. Mbona Agano la Kale mashujaa karibu wote wa imani walikuwa na wake kibao?
Kwenye agano jipya nahisi..Kwani unakubaliana na uoaji mke zaidi ya mmoja?ndugu yangu
😂😂😂😂 Na wasiruhusu wawabane hapo hapoNdiyo. Wakristo tungeruhusiwa angalau wawili ingesaidia sana
Haisaidii cho chote. Michepuko kama kawa. Unafiki mtupu !!!Na wasiruhusu wawabane hapo hapo
Ubatili mtupu. Hao wake si alikuwa anagongewa tu. Mwisho wa siku ndiyo walimgeuza moyo wake akaifuata miungu mingine. Alilipa gharama yake lakiniHuwa najiuliza sana. Mfalme Suleman aliwezaje kufikisha wake mia saba? Alikuwa anatafuta nini?
Mkuu umewaza nini kwenye hiyo sauti?Hee huu ni usiku wengine vichwa vichafu
Nshawaza ujinga apo
Shetani toka
😂😂 Ila Kuna ukweli..lakini pia wanaume mtosheke jamani..Mana hata mkiamua kuwa na wanawake wawili wawili bado tu kuchepuka kupoHaisaidii cho chote. Michepuko kama kawa. Unafiki mtupu !!!
Haisaidii cho chote. Michepuko kama kawa. Unafiki mtupu !!!
Waridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena, tulishafanya maamuziIla Kuna ukweli..lakini pia wanaume mtosheke jamani..Mana hata mkiamua kuwa na wanawake wawili wawili bado tu kuchepuka kupo
Waridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena
Hii ni comment yangu Bora kabisa ya mwezi huu.Kama nitapata muda kesho nitakujibu kwa kina
Kwa sasa hivi tu; maisha ya ndoa is not all about sex, maana it's as if mke ni chombo tu cha kumstarehesha mwanaume kitandani so lazima tuhakikishe kila siku mwanaume ana wa kumstarehesha bila hivyo atakufa. Halafu kuna muda majukumu yanakuwa mengi na hata hiyo sex hatufanyi daily. Huyo mume wa kushindwa kukuvumilia ubleed siku 3-4 kwa kweli aombewe tu apate na vitu vya msingi vya kumkeep busy mfukuze na umaskini. Kwenye maisha unajifunza tu kuridhika na hali yako/mtu wako. Kama ambavyo ukiwa huna hela unakunywa maji unalala huendi kuiba, kumbe unaweza ukaridhika na papuchi ya mkeo na ukamuacha tu ableed kwa amani bila kwenda kuoa mke mwingine. Sijawahi kusikia mume kafa kwa kukosa sex
Siku zote moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu, ndiyo maana tunafundishwa kuitiisha miili (kuunyima mwili vitu vinavyovipenda). Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima atajua kuucontrol mwili wake. Tatizo tunaiendekeza miili na ngono tangu tukiwa vijana, tukifika ndoani mwendo ni ule ule. Afu kwani sisi wanawake tukiolewa tu tamaa zetu zinakufa? Mbona tunakuwa waaminifu kwa wenzi wetu? Uaminifu ni chaguo, ni maamuzi period. Usipoamua, hata uoe wanawake nane na hakuna anayeumwa wala kubleed; bado utaenda kutamani na kulala na mwanamke mwingine nje.
N:B Mimi ni mke wa mume mmoja na ndiyo mke wake wa pekee hadi kifo kitutenganishe, na namshukuru Mungu tunaenjoy ndoa yetu. Na mapungufu yake yote; kwa kweli sipo radhi kumwachia mwingine ninamtaka tu awe wangu hadi kurudi kwa Kristo. Wazazi wangu wameishi ndoa ya mke na mume mmoja hadi kifo kimewatenganisha; nitafanya hivyo pia.
Mimi na mume wangu tumeunganishwa na Mungu kupitia agano la ndoa; hivyo mimi na yeye ni mwili mmoja, ni kifo tu ndiyo kinaruhusiwa kututenganisha sio mwanadamu. Vipo vya kuwapa watu na sio mume wangu, kwa sababu mimi na yeye tuna Agano, akija mwanamke mwingine automatically agano letu limekufa, ndoa kushney.
Usicheke mdogo angu
Hii ni comment yangu Bora kabisa ya mwezi huu.
Imenikosha sana hasa hiyo NB
I'm very happy for you sister.
I Love you much.