Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.

Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .

Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu; hivi utaratibu wa kusilimu ukoje?
 
Kama nitapata muda kesho nitakujibu kwa kina

Kwa sasa hivi tu; maisha ya ndoa is not all about sex, maana it's as if mke ni chombo tu cha kumstarehesha mwanaume kitandani so lazima tuhakikishe kila siku mwanaume ana wa kumstarehesha bila hivyo atakufa. Halafu kuna muda majukumu yanakuwa mengi na hata hiyo sex hatufanyi daily. Huyo mume wa kushindwa kukuvumilia ubleed siku 3-4 kwa kweli aombewe tu apate na vitu vya msingi vya kumkeep busy mfukuze na umaskini. Kwenye maisha unajifunza tu kuridhika na hali yako/mtu wako. Kama ambavyo ukiwa huna hela unakunywa maji unalala huendi kuiba, kumbe unaweza ukaridhika na papuchi ya mkeo na ukamuacha tu ableed kwa amani bila kwenda kuoa mke mwingine. Sijawahi kusikia mume kafa kwa kukosa sex

Siku zote moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu, ndiyo maana tunafundishwa kuitiisha miili (kuunyima mwili vitu vinavyovipenda). Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima atajua kuucontrol mwili wake. Tatizo tunaiendekeza miili na ngono tangu tukiwa vijana, tukifika ndoani mwendo ni ule ule. Afu kwani sisi wanawake tukiolewa tu tamaa zetu zinakufa? Mbona tunakuwa waaminifu kwa wenzi wetu? Uaminifu ni chaguo, ni maamuzi period. Usipoamua, hata uoe wanawake nane na hakuna anayeumwa wala kubleed; bado utaenda kutamani na kulala na mwanamke mwingine nje.

N:B Mimi ni mke wa mume mmoja na ndiyo mke wake wa pekee hadi kifo kitutenganishe, na namshukuru Mungu tunaenjoy ndoa yetu. Na mapungufu yake yote; kwa kweli sipo radhi kumwachia mwingine ninamtaka tu awe wangu hadi kurudi kwa Kristo. Wazazi wangu wameishi ndoa ya mke na mume mmoja hadi kifo kimewatenganisha; nitafanya hivyo pia.

Mimi na mume wangu tumeunganishwa na Mungu kupitia agano la ndoa; hivyo mimi na yeye ni mwili mmoja, ni kifo tu ndiyo kinaruhusiwa kututenganisha sio mwanadamu. Vipo vya kuwapa watu na sio mume wangu, kwa sababu mimi na yeye tuna Agano, akija mwanamke mwingine automatically agano letu limekufa, ndoa kushney.
Hii ni comment yangu Bora kabisa ya mwezi huu.

Imenikosha sana hasa hiyo NB
I'm very happy for you sister.
I Love you much.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom