Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

Kanambia Mume wangu kuwa nimemuambukiza na mchepuko wangu pia nae Kanambia jana anadalili ya Gonnorea

Sent using Jamii Forums mobile app
.................What a bïtçH!!!

So kumbe unae mume kisha ukaenda kufanya ngono zembe huko kazini ulikopangiwa?ndo maana nawaambia vijana wanawake wanaofanya kazi achaneni watawauwa siku siyo zenu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Chukua Malafin mezea na shots mbili za konyagi tatizo litakwisha kabisa ila siku nyengine jifunze kutumia kinga
 
ila wewe mwanamke ni mseng.e sana, yaani umeolewa halafu bado unaki.tombesha nje!? si ungemaliza ujana kwanza ndio uolewe? pumbavu kweli wewe.
Alafu unakuta Mwanaume eti anajisifu kwa watu Kuwa eti Siwezi Pigiwa mke wangu😂 wanawake wenyewe ndo kama hawa wanapigwa pigwa nje huko na kuleta gono ndani😂..

Sijawahi kumfikiria mwanamke mara mbili mbili awe mchumba au sijui mke kupigwa atapigwa tu....
 
Back
Top Bottom