Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

Mfanya kazi mwenzako umeenda nae kikazi ukamtunuku utakuta umeolewa hapo au kuna mshikaji anatarajia kukuona ok
Dawa maji ya betri paka kwenye uke wako
Jamani nimeambukizwa Gonnorehea nilivyoenda kikazi Singida na mwanaume Mmoja hivi amabaye tulikua nae huko kikazi.

Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani. Kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200310-154849_Chrome.jpg
 
Mh,mwanamke mpaka ujue una gono. Inachukua Muda mrefu kidogo...umeona dalili gani...lakini kapime kwanza upate uhakika ndo uandikiwe dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila wewe mwanamke ni mseng.e sana, yaani umeolewa halafu bado unaki.tombesha nje!? si ungemaliza ujana kwanza ndio uolewe? pumbavu kweli wewe.
Angekuwa mwanaume kachepuka haya yote yasingetokea, mgesema oooh Mwanamke kasababisha...kosa kishatokea...Dada kapime kwanza Gono,nikifaa TU wanaswab uko ukeni baaada ya masaaa machache unapata majibu....Minshawai kupima Gono mwanaume alikua anasema nimemuambukiza lakini sikua nayo...So nenda kapime kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe kwanza stori ilikuaje hadi utembee na mwanaume sio wako
 
News Alert: - msaada rafiki zangu ndugu zangu wakubwa zangu Kuna uchawi wowote au?


wewe dogo sikiliza usitufanye sisi wajinga pamoja na THREAD yako kufuta maelezo lkn juwa tumepata details zako
sasa kabla hatujashsuri chochochote tuambie wewe ni mwanamke au mwanaumee

haya ni maelezo uloyafuta kwenye thrread yako twaja hapo juu

muyakb24 said:
kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Nina mpenzi wangu nimeishi nae huu ni mwaka wa pili. Anasumbuliwa na majini kwa alivyoniambia yeye yaani ile kuchomoka wakuu tatizo lipo hapa kwa miezi hii ya karibuni hiliyopita mpaka leo hii ipo hivi unakuta na misi sana mapenzi na yeye anakuja akifika utakuta uume ausimami hata nifanyaje Ausimami nikaona labda mi nina matatizo ya nguvu za kiume nikasema ngoja nikajaribu kwa mwanamke mungine Kwa mwanamke napiga fimbo sana tu yaani uume unasimama chapu hata kabla ya kuvua nguo nikajaribu sana na sana kwa wanawake wengine ila ishu ipo nikikutana na huyo mb***o aisimami kabisa wakuu tatizo nini wakati demu ni mzuri kuliko hata ambao niliwachukua kujaribu kama sina nguvu za kiume

NB: Uandishi wangu sio mzuri Tusamehane
Screenshot_20200310-164325.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nilitumia hii in the past lakini Sijapona
Acha ubishi km unatujoke na wewe ni mwanamume lkn kwa wengine wakiupata tumia hizi dawa na utapona tu
chukua doxycillin ciplofloxacin na metronidazole dose utapona
au ongezea na ampicloxycycllin
na unywe maji mengi
na huenda una vidonda kuna dawa ya kupakaa
siku nyingine ukwa na muwasho usimpe mumeo mpaka ukapime ni bora umsingizie yeye kuwa ana michepuuko, kwani sasa kutakuwepo na mashindano ya kutafuta nje
usigawe tena mpaka siku 5 ukapime hicho kijaluba
 
Jamani nimeambukizwa Gonnorehea nilivyoenda kikazi Singida na mwanaume Mmoja hivi amabaye tulikua nae huko kikazi.

Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani. Kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambukizwa na Nani ?
 
News Alert: - msaada rafiki zangu ndugu zangu wakubwa zangu Kuna uchawi wowote au?


wewe dogo sikiliza usitufanye sisi wajinga pamoja na THREAD yako kufuta maelezo lkn juwa tumepata details zako
sasa kabla hatujashsuri chochochote tuambie wewe ni mwanamke au mwanaumee

haya ni maelezo uloyafuta kwenye thrread yako twaja hapo juu

muyakb24 said:
kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Nina mpenzi wangu nimeishi nae huu ni mwaka wa pili. Anasumbuliwa na majini kwa alivyoniambia yeye yaani ile kuchomoka wakuu tatizo lipo hapa kwa miezi hii ya karibuni hiliyopita mpaka leo hii ipo hivi unakuta na misi sana mapenzi na yeye anakuja akifika utakuta uume ausimami hata nifanyaje Ausimami nikaona labda mi nina matatizo ya nguvu za kiume nikasema ngoja nikajaribu kwa mwanamke mungine Kwa mwanamke napiga fimbo sana tu yaani uume unasimama chapu hata kabla ya kuvua nguo nikajaribu sana na sana kwa wanawake wengine ila ishu ipo nikikutana na huyo mb***o aisimami kabisa wakuu tatizo nini wakati demu ni mzuri kuliko hata ambao niliwachukua kujaribu kama sina nguvu za kiume

NB: Uandishi wangu sio mzuri Tusamehane
View attachment 1383194
cc muyakb24
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom