Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

muyakb24

Senior Member
Jul 31, 2018
177
225
Nilienda hospital nimepewa dawa lakini azijanisaidia kitu mpaka saizi na saizi nipo vijijini Ki kazi kazi kama kuna mtu anafahamu dawa kwa jina au za sindano kwa jina anambie kwa mwanamke
ipo tiba ya vidonge na ipo tiba ya sindano, nenda hospital huu ugonjwa unatibika na matibabu yake ni rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
 

She loves Me

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
817
1,000
Chukua mizizi ya mpapai dume, osha vizuri na kisha uchemshe.
Baada ya hapo usubiri ipowe na kisha kunywa kikombe kimoja cha chai wakati wa asubuhi, mchana na jioni ndani ya siku tatu utakuwa umepona kabisa.
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Amimine hiyo dawa kweny kikombe cha chai...
Utamfanya mwenzako anywe chai badala ya dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,898
2,000
jamani Nimeambukizwa gonnorehea Singida nilivyoenda kikazi na mwanaume Mmoja ivi

amabaye tulikua nae Huko kikazi Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa Huu ugonjwa jamani.

kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi na gono kipi afadhari? Umepima kama ujaambukizwa ngoma? Unalialia na gono ukisikia kakuambukiza ngoma itakuwaje? Hata hivyo gono kwa wanawake wengi ni macarriers madhara ya gono kujitokeza kwa wanawake uchukua muda mrefu sana! Sasa usije kuta uliambukizwa muda mrefu saaana na sasa ndo madhara yanaanza kujitokeza alafu unamsingizia mshua!
 
Top Bottom