Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

chukua doxycillin ciplofloxacin na metronidazole dose utapona
 
hii kitu asikuambie mtu, nilimla dem mmoja ndani ya kama nusu saa nikaanza kuisoma namba, kimbembe wakati wa kukojoa aisee yaani nilikua nasimamia vidole maana sio kwa maumivu yale. Ilikua mkojo ukinibana nakaa pembeni nalia weeeeeeeeeee then nikiingia toilet kama kawa nasimamia vidole ila machozi hayatoki.... nakumbuka nilipewa doxy kama sikosei ni kitambo kidogo.
 
Aliyekuambukiza ulimchana ukweli na mlipata matibabu pamoja au nI ile ilitokea ukala kimasihara mkapotezeana?
 
Aliyekuambukiza ulimchana ukweli na mlipata matibabu pamoja au nI ile ilitokea ukala kimasihara mkapotezeana?
mkuu ilikua ni kimasihara, si unajua ile quickie ya kuinamisha then unavuta pichu pembeni then fasta unajisevia kumbe nilikua nachota matakataka...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Jamani nimeambukizwa Gonnorehea nilivyoenda kikazi Singida na mwanaume Mmoja hivi amabaye tulikua nae huko kikazi.

Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani. Kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua dawa inayoitwa AZUMA , utazimeza siku 3 tu. Kila siku kidonge 1 tu.
Ila uende vizuri, maana zinauzwa kimya kimya sana. Hutajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom