Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,546
- 49,421
What..?!kampuni ya Uzinzi Garda security.
Nimchane au nimkimbie kijanja?Mimi kwa uzoefu wangu nakushauri mkatae tu ndugu yangu .
Tena bora ingekuwa ni kampuni hizi za ulinzi ila ulivyosema ni kampuni za uzinzi sikushauri huko magonjwa nje nje yaani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Issue ni kwamba wanasema kama ataiba au ataibiwa lindoni na kukimbia wadhamini ndio tutapaswa kumpeleka au kulipa mali zilizoibiwa.Mbona issue ndogo sana hio, mdhamini kwa masharti ya mashahidi upande wako na wake dhidi ya dhamana yako.
Kumbe Garda World kuna nafasi za kazi, ni mkoa gani?
tangu lini GARDA imekuwa Kampuni ya UZINZI??Ni mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana.
Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe.
Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi Garda security. Huko kapata ila issue ni udhamini kawekewa vigezo vigumu.
Wanataka apeleke watumishi wa umma 2 wenye barua za mkono, picha, kopi ya NIDA, kopi ya kitambulisho cha kazi na barua zao za utambulisho kutoka serikali ya mtaa.
Kasema kupambana kutafuta wadhamini kachemka, anaomba msaada wangu hana namna. Sijui kama mdhamini mwingine kampata au ndo anataka aanze na Mimi.
Vipi wakuu nimdhamini, au nimwambie kuwa haiwezekani. Na kama namdhamini nimpe masharti yapi Ili kujihakikishia usalama wangu?
Thanks.
Kupoteana miaka 10 si kipindi haba.. Mengi yatakuwa yalitokea hapo katikati.. Kumdhamini ni risk kubwa sana! Hata kama hana nia ovu lakini likitokea tatizo kazini na akaingia mitini mdhamini ndio utabebeshwa mzigo hasa kama unahusiana na fidiaNi mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana.
Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe.
Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi Garda security. Huko kapata ila issue ni udhamini kawekewa vigezo vigumu.
Wanataka apeleke watumishi wa umma 2 wenye barua za mkono, picha, kopi ya NIDA, kopi ya kitambulisho cha kazi na barua zao za utambulisho kutoka serikali ya mtaa.
Kasema kupambana kutafuta wadhamini kachemka, anaomba msaada wangu hana namna. Sijui kama mdhamini mwingine kampata au ndo anataka aanze na Mimi.
Vipi wakuu nimdhamini, au nimwambie kuwa haiwezekani. Na kama namdhamini nimpe masharti yapi Ili kujihakikishia usalama wangu?
Thanks.
ShukraniKupoteana miaka 10 si kipindi haba.. Mengi yatakuwa yalitokea hapo katikati.. Kumdhamini ni risk kubwa sana! Hata kama hana nia ovu lakini likitokea tatizo kazini na akaingia mitini mdhamini ndio utabebeshwa mzigo hasa kama unahusiana na fidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kwamba wanasema kama ataiba au ataibiwa lindoni na kukimbia wadhamini ndio tutapaswa kumpeleka au kulipa mali zilizoibiwa.
Hapo mashahidi wafanye nini?
Fafanua