Naomba ushauri nihakiki chuo gani kati ya hivi?

Hakuna kazi ngumu kwenye finance kusema mtu wa procurement akashindwa sema wewe bado una ushindani wa kishule mimi ni mkongww nipo kwenye system miaka mingi wakati wewe bado umekariri.
Mkongwe lakini hauko updated....
 
Hayo makozi uliyochagua ni ya hovyo.

Isipokuwa hiyo ya mwisho ya Procurement kidogo ni ya kijanja kwa sababu ukiisomea unaweza kufanya kazi kama procurement officer,store keeper,supply chain na ukikosa nafasi hizi kuna masomo mengi yanaingiliana na watu wa Finance and accounting una uwezo wa kujiongeza ukafanya kazi za kiuhasibu.

Ila hicho chuo sasa hata sikijui hicho sijui mocu
Mkuu acha mambo yako ina maana hujui chuo cha ushirika moshi
 
Mimi ni Engineer na kuna baadhi ya kazi nashirikiana na watu wa finance so naongea kitu ninachokijua.
Ukiona wewe umesomea procurement halafu ukapewa kazi ya finance ikakushinda ujue wewe una bichwa zito.
Kumbe ndio maana hujui kitu
 
usikariri sasa ninachokwambia kuna baadhi ya kazi za finance nazifanya na sijaona ugumu wowote.
Hayo majina ya kozi huishia huko chuoni ukishaingia kazini wote ni sawa.
You are still junior kunichallenge mtu mkongwe kama mimi niliyepitia taasisi mbalimbali za kimataifa

Ukongwe wako hauniathiri kwa namna yoyote mkuu...naona unajitapa tu hapa.
 
Haya kama umesoma finance niambie vipengele gani unavyoona ni vigumu ambavyo mtu wa procurement hawezi kufanya?Watu wanazifanya kazi ngumu kama medicine na engineering waje kushindwa vihesabu vya Cash flow

Kwa hiyo kwenye uhasibu wewe unajua cash flow tu?
 
Hayo makozi uliyochagua ni ya hovyo.

Isipokuwa hiyo ya mwisho ya Procurement kidogo ni ya kijanja kwa sababu ukiisomea unaweza kufanya kazi kama procurement officer,store keeper,supply chain na ukikosa nafasi hizi kuna masomo mengi yanaingiliana na watu wa Finance and accounting una uwezo wa kujiongeza ukafanya kazi za kiuhasibu.

Ila hicho chuo sasa hata sikijui hicho sijui mocu
akasome procurement..hicho chuo ni kizuri sana asee, wanapiga vizuri kwenye mitihani ya bodi ya PSPTB....Hata TIA nao wako vizuri kwenye kozi hii mana masomo ya mwaka wa mwisho ni yale ya mitihani ya bodi, hivyo huna haja ya kwenda centres kusoma tena..unachkuwa zako CPSP Kiulaiini.
 
Hivi hakuna uwezekano wa kwenda kujiunga TIA halafu abadilishe kozi ili aombe kusomea Procurement?
 
Haya mambo haya si mchezo nikicheki pale home bro kaua BCOM udsm tangu 2013 mpaka leo kaishia kuuza duka la mtu wa darasa la saba.
Kapige marketing na wakati unasoma hakikisha unaandaa plan ya ku survive mtaani maana ajira huku ni magumashi.
Niko na jamaa kapiga BCOM mpaka naogopa kusoma
 
usikariri sasa ninachokwambia kuna baadhi ya kazi za finance nazifanya na sijaona ugumu wowote.
Hayo majina ya kozi huishia huko chuoni ukishaingia kazini wote ni sawa.
You are still junior kunichallenge mtu mkongwe kama mimi niliyepitia taasisi mbalimbali za kimataifa
Unavyoji proud sasa utafikiri mtu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom