Naomba ushauri nifanyeje

Naomba ushauri nifanyeje

Mmmmhh kabisa unabeba rasket yako putu putu putu unaweka na miguu juu kwenye meza unasubiri msosi mmmmhhh ngoja uje utolewe meno ila uamuz n wako as Long as kakueleza ukweli
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage


Ushauri ndo huu
Km una akili fuata huu ushauri
 
Yan ka!!! uyo mwanamke anachezea bahati...ngekua mm ngepima na uyo mbaba ngeendelea nae tu coz watu wenye family wanajua kutunza na kujali....nasema ivo kwasabab baadhi yenu wanaume amna shukran hata kidunchu dada wawatu anaonyesha upendo kwako lakin mwisho wa siku utasahau yote na utamuacha uyo dada tena utamuacha kwa mbwembwe sana tu...kiushauri mwacha dada wawatu aendelee na mbaba wake unatia doa kwenye penzi lao...

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Swala la hhuyo mzee kula mzigo mara nne sijui ..hizo ni fix amekupa..
angesema anatembea nae tu..ila kukupa idadi apo kakuzingua..

wazee tukimpangishia hawara nyumba yani tuna kkula mzigo masaa 24..mda wowote..ata usiku wa manane nipo radhi niamke niende kwa hawara
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage

Absolutely true mkuu Boss. Miongoni mwa watu ninaowakubali for concrete arguments ni wewe mkuu. Salute. Mkuu.
 
mpe nafasi kwa sasa,endelea na yako wakati anaendelea na yake,mwambie kuwa huwezi kuwa nae wakati stil yuko na huyo baba,then she wil decide kama upendo wenu ni wa kweli na mmepangiwa kuwa pamoja,she wil come back to u,dnt force it,usije fyatuliwa risasi ya mbavu
 
such a predicament. She seems to love you but had to resort to such means to make ends meet. Its all up to you.
 
Mmmhhh
Kasheshe
We sepa tu hapo mi havyojua hawa wazee huwa hawapendi ku share
Ucje pigwa risasi bure



Bt kilichonishangaza ni kuona mama wa bint atakuja mpaka hapo it means anaelewa kuwa mtt wake kuna mtu ndo ananuweka.mjini.....
Aiseeeee lyk mother lyk daughter
 
...beba kifushi chako....rudi getto kwako....kama anakupenda atakuja....kula mzigo tuuu.....ila ujue sio wako tena huyo....hata akija kwako.....pigana na maisha mkuu.....hao wapo tuu....
 
If she did it once she will do it again as long as you can't handle her expenses.

Ukitaka kuwa naye huyo katafute hela otherwise geuza kisigino.Ukiona mwanamke anafanya sherehe ya kuhamia kwenye nyumba ya kupanga basi ujue hamna kitu kichwani hapo,tena kwa hali ya umasikini kiasi cha kukosa ada ya chuo halafu anakuwa na akili hizo.Achana nae,rudi kwako na tafuta hela.

Usirudie tena kuhamia kwa mwanamke
 
Mmmhhh
Kasheshe
We sepa tu hapo mi havyojua hawa wazee huwa hawapendi ku share
Ucje pigwa risasi bure



Bt kilichonishangaza ni kuona mama wa bint atakuja mpaka hapo it means anaelewa kuwa mtt wake kuna mtu ndo ananuweka.mjini.....
Aiseeeee lyk mother lyk daughter

Ha ha hawapendi kushare ila wao wanawake mabinti kila kona.
Looo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom