Naomba ushauri nifanyeje

Naomba ushauri nifanyeje

Kweli wanaume wamesha siku hizi...badala ya kukaa kupambana na maisha..unaenda kujipeleka kupata miwaya kwa sababu ya kuendekeza mapenzi ya kitoto na kishamba kisa kuogopa maisha..pole sana..unanikumbusha stori ya zaituni(si jina halisi) wa kijitonyama ..alipima akawa negative akapima baada ya miezi mitatu kikawaka miwaya kapewa kwa mtindo huo huo..akamwambukiza na jamaa wake mfanyabiashara..yaani siku hiyo ofsini vilijaa vilio tu baada ya kutoa majibu..haya wewe endelea tu
 
Unajua maishani shida haaziishi dogo. Leo katoa papuch sababu eti ya ada. Mbona hakulipiwa tu ada na aendelee kukaa hostel ila amepewa hadi chumba? Sasa huyo ukija kuoa kila pakiwa na shida mwenzako hataona kutumia kitega uchumi chake kuwatoa kwenye matatizo, si ushalegea mara ya kwanza. Huyo mwanamke wako ana tamaa na sio shida. Ila nafikiri pia ni binti ambaye kama ungekua una uwezo vizuri labda angetulia maana kuna chembe ya kujutia kidogo. Lakini ni LABDA!!! Women these days...
Halaf embu kaa utathmini maana halisi ya kuitwa mwanaume na ujiangalie ww hizo sifa za kuwa mwanaume wewe unazo kwa asilimia ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mambo vp Wana JF,nahitaji ushauri wenu kwenye hili............!!
Ni mwaka sasa umepita toka nianze mahusiano na huyu msichana.Wakati tunaanza mahusiano alikua akiishi hostel za chuo chao but after miezi mitatu akaniambia anahamia kwake kwani mama yake kamkubalia kumpangishia nyumba.Baada ya kuhamia kwake kama mwezi ukapita nikaenda kumtembelea kwake palinishtua kidogo alikua amepanga zaidi ya chumba kimoja kama nilivyofikiri nyumba ilikua na Sebule,jiko,chumba cha kulala na pia alikua na vitu vya ndani vyote ikiwa mziki mkubwa,tv-flat,masofa,kabati n.kIlinishtusha kwamba mama yake ampangie ghafla hivyo na vitu vyote vya gharama hivyo but alinihakikishia ni mama yake na kunihakikishia zaidi mama yake alikua akija kumtembelea ananitumia mpaka picha.Wakati huo wote mimi pia nlikua nikiishi kwangu tho pia nlikua nasoma chuo.Alifanya sherehe ya kuhamia kwake na alialika marafiki zangu na marafiki zake wachache pia but marafiki zangu walishtuka baada ya kupaona kwake but niliwaambia ni mama yake na huwa anakuja mara kwa mara so wakaamini hivyo kwa shingo upande.

Ki ukweli ananipenda sana kiasi kwamba kwenye watsup dp yake ananiwekaga mimi tu mda wote na instagram full kuweka picha zangu na ujumbe wa mapenzi kuonesha ulimwengu ananipenda sana.Nikajiaminisha napendwa sana.Kwa sababu kwangu nipadogo(chumba kimoja) aka ning'ang'aniza ni hamie kwake.Nika hamia tho niliamia na rasket tu vitu vingine vilibaki kwangu na niliendelea kulipa kwangu kodi tho nimehamia kwa demu tyr.




But juzi akaamua kuniapasualia ukweli wote tukiwa kitandani.Kuwa kwao maisha ni ya chini sana tofauti na ninavyomuona na jamii inavyomchukulia pia kwao hawawezi ata kumlipia ada ya shule na matumizi tofauti na nlivyokuwa nafikiria kabla. Baada ya miezi miwili ya kuaanza mahusiano yetu alifukuzwa chuo kwa kukosa ada baada ya ndugu aliyekua anamsaidia kutofautiana nae na baada ya hapo alikutana na mbaba flani ambae alimuonea huruma na kuamua kumlipia ada na hela ya matumizi kama mwanae.Lakini eti baada ya miezi mitatu yule mbaba akampeleka nje kidogo na jiji na kulala nae mchana kwa hoteli na wamesha lala mara nne toka wakutane sasa ikiwa ni karibu mwaka na vitu vyote vya ndani,ada na hela tunazokula sio za mama yake ni za huyo mbaba.Na ananiambia hayo yote coz ananipenda sana na anataka kuachana na huyo mzee coz karibu anamaliza chuo na ameshamlipia ada tayari.Ndugu nilihisi naota ndoto kumbe ilikua ni kweli nilishindwa kumjibu mpaka leo na jibu sina.Ni kamuuliza mbona mama yako alikua anakuja kwako akaniambia mama yake anajua pale ni kwangu na nilikua nimesafiri .

Wana JF naomba ushauri nimkimbie,nimvumilie tho sina hela zakumpa akiachana na huyo mtu wake,ama nifanye nn.........????




add: Tumeshapima afya zetu wote tupo wazima.Na bibie anaforce kumwambia huyo mzee waachane sasa nafikiria wakiachana nani atampa hela ya matumiza kila siku mimi sina hizo hela???

Yan ka!!! uyo mwanamke anachezea bahati...ngekua mm ngepima na uyo mbaba ngeendelea nae tu coz watu wenye family wanajua kutunza na kujali....nasema ivo kwasabab baadhi yenu wanaume amna shukran hata kidunchu dada wawatu anaonyesha upendo kwako lakin mwisho wa siku utasahau yote na utamuacha uyo dada tena utamuacha kwa mbwembwe sana tu...kiushauri mwacha dada wawatu aendelee na mbaba wake unatia doa kwenye penzi lao...
 
Mambo vp Wana JF,nahitaji ushauri wenu kwenye hili............!!
Baada ya kuhamia kwake kama mwezi ukapita nikaenda kumtembelea kwake palinishtua kidogo alikua amepanga zaidi ya chumba kimoja kama nilivyofikiri nyumba ilikua na Sebule,jiko,chumba cha kulala na pia alikua na vitu vya ndani vyote ikiwa mziki mkubwa,tv-flat,masofa,kabati n.kIlinishtusha kwamba mama yake ampangie ghafla hivyo na vitu vyote vya gharama hivyo but alinihakikishia ni mama yake na kunihakikishia zaidi mama yake alikua akija kumtembelea ananitumia mpaka picha.Wakati huo wote mimi pia nlikua nikiishi kwangu tho pia nlikua nasoma chuo.Alifanya sherehe ya kuhamia kwake na alialika marafiki zangu na marafiki zake wachache pia but marafiki zangu walishtuka baada ya kupaona kwake but niliwaambia ni mama yake na huwa anakuja mara kwa mara so wakaamini hivyo kwa shingo upande.

Watu mnafurahisha kweli kweli, sherehe ya kuhamia nyumba ya kupanga tena vyumba vinne sijawahi kuona wala kusikia. Wengine wanajenga mabangalow ya uhakika jf nzima inaweza kuenea humo na wanajisogeza kimya kimya na kumshukuru Mungu.

Labda she had to do what she had to survive but she is enjoying the life hapo ndio pagumu, uwezekano wa yeye kutafuta mzee mwingine hata akiachana huyu ni mkubwa sana ili aendelee kumaintain status yake. Hajawahi kuishi maisha anayoishi ona hata mama yake anashangaa mtoto katoa wapi.
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage

Asipokuelewa na kuufanyia kazi ushauri wako tafadhali niambie nikaiedit ignore list yangu.

Vijana wa dot com huwa hawachoki kunishangaza.
 
na bibie anaforce kumwambia huyo mzee waachane sasa nafikiria wakiachana nani atampa hela ya matumiza kila siku mimi sina hizo hela???

r.i.p tanmo...... 🙁
 
Last edited by a moderator:
Subiri UGRADUATE WITH AIDS WAKATI WENZIO WANAGRADUATE NA A's ndo kijijini kwenu watakulilia kweli! Namaaaaaaaf zako, taifa linaingia deni lisilolipika msome fu kupign FREE tu huko ndo biashara yenu!

Teh teh teh, acha madogo wa enjoy free P!
 
mkuu kizuri Kula na mwenzako!hapo we potezea as if hajawai gegedwa na kibabu.We kaa nae chini mpesomo aachane na kiba u then muanze fanya maisha Tu.
 
Naona umeeleza vyema ila mwisho umejijibu vyema sana "je ni nani atamgharamia akiachana naye na mimi sina kitu???"

Cha kwanza rudi kwako then mengine yafuatie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom