miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
"Loho" mbaya hivyo! Hutaki kijana apate tamuuu??? Kijana pigana ukishindwa naomba hiyo namba niipeleke TCRA wana shida nayo:becky:
ha ha ha ha ha ha ha
"Loho" mbaya hivyo! Hutaki kijana apate tamuuu??? Kijana pigana ukishindwa naomba hiyo namba niipeleke TCRA wana shida nayo:becky:
mimi nimetoa maombi yangu na tafadhali sana naomba unisikie , japo nachokushauri ni kwamba pambana kwanza kwa hali na mali , ila ukishashindwa tu , tafadhali sana naomba hiyo namba aisee
Kumkimbia kwenye gari ulikosea ungemchana palepale kwenye siti, ungeanzia ata story a escrow, panyaroad, smatphone, au ungemuuliza kama ameiona shutin ya diamond upate pa kuanzia
Ha Ha Ha
Mkisikia Nimejinyonga Huyu Ndie Awe Wakwanza Kuhojiwa Kule Sentrrro
dah!! vipi mtoto anasemaje kwa sasa , ameshakubali kukutana na wewe?? maana haya mambo sio ya kuchelewesha , take advantage mapema hii na hajakufahamu vizuri , unamchakaza kwanza , kujuana baadaeHahah Mkuu Mambo Yashaanza Kuwa Mazur, Kushindwa Ntapasikia Kwenye Bomba Yani
waalimu mimi ndio nawapenda jaman, sijui hata nawapatia wapi aiseeHa Ha Ha, Halafu Nimegundua Kuwa Huyu Binti Ni Mwl Wa Shule Ya Msingi... Yanii Iyo Story Ya ESCROW Ingeenda Kweli Kweli, Ndio Basi Tena Iyo Ndio Sawa Na Zile Za "NINGE..."
dah!! vipi mtoto anasemaje kwa sasa , ameshakubali kukutana na wewe?? maana haya mambo sio ya kuchelewesha , take advantage mapema hii na hajakufahamu vizuri , unamchakaza kwanza , kujuana baadae