Naomba ushauri nifanyeje kwa hili?

Naomba ushauri nifanyeje kwa hili?

Juzi Wakat Natoka Nyumban Kwenda Kati Kati Ya Jiji Nilikutana Na Msichana Mmoja Ndani Ya Daladala. Huyu Msichana Alikua Mzuri Kias Kwamba Alivyokuja Kukaa Kwa Seat Yangu Moyo Ulianza Kunienda Mbio Nisijue Nianze Na Lipi, Mana Kwanza Alinikuta Na Earphone Masikioni Na Bus Lilikua Empty Kias Kwamba Raia Wengine Walikua Wanatukodolea Macho Kama Vile Walikua Wanataka Nione Nitafanya Nin...

Tulipita Foleni Za Mataa Mbili Tatu Bado Nikifikiria Nimuanzaje, Mara Fasta Wazo Likaja Nikajfanya Nashuka Kituo Flan Cha Mbele Ambacho Sikifaham Na Nilikua Namuomba Anikumbushe Tukikaribia... Dada Mwnyw Alikua Mchesh Kwan Nilivomsifia Kua Kapendeza Alicheka Sana Na Kisha Akanambia Na Mim Nimependeza, Hamadi Tukakribia Kile Kituo Na Akaniambia, Apo Nilikua Sina Jinsi Ni Kushuka Tuu Japo Safar Yangu Ilikua Inaendelea Mbele Mpaka Mwisho Wa Daladala. Lakin Sikushuka Hivi Hivi Kwani Nilifanikiwa Kupata Namba Ya Yule Mrembo.

Sasa Suala Linakuja Tangia Nimpigie Simu Usiku Wa Ile Siku, Zimepita Siku Mbili Hatujawasiliana Na Leo Nimetoka KuMTxT Tangia Jioni Mpaka Sasa Usikuu Huu Wa Sa Tatu Hajajibu... Naomben Ushauri Wakuu Kama Ni Sahihi Kuanza Kumpigia Pigia Kwa Simu Au Nisubiri Kwanzaa....
Asantenii...

usubiri mpk lini wkat huu ndo muda wa kukuza undugu pili usimshobokee sana mpaka ajue kama wataka kumtongoza tatu ukiona hakujibu txt zako ujue kafuria nne acha mawazo mabaya coz aliwazalo mjinga ndo litakalo mtokea sina maana kuwa ww mjinga just kama nafikisha ujumbe dzain hiyo tano usije ukamuita dada hata siku moja wala usimuulize shemeji ajambo sita onesha kumjal na mtu wa huruma last one usipigenae stori za mapenzi ikiwa bado hujamtongoza wala yeye kukubalia kwan unataka kumtongoza braza?????????? afu sasa sipati picha kama mngekutana huko mwisho wa gari coz bila shaka ulipanda gari lingine ulivyoshuka katikati ya safari KEEP MOVING
 
haya, sasa mpigie sim ila uwe na vocha kutosha sio una kivocha cha kubeep alafu unampigia demu siku ya kwanza, utapigwa chini maana atakuona huna swaga.

Haha
Nahis Atakua Muelewa Kuwa Mim Ni Choka Mbovu Sababu Tulikutana Ndani Ya DSM, Si Unajua Usafir Wa Watu Wa Aina Huu Hapa Mjin
 
usubiri mpk lini wkat huu ndo muda wa kukuza undugu pili usimshobokee sana mpaka ajue kama wataka kumtongoza tatu ukiona hakujibu txt zako ujue kafuria nne acha mawazo mabaya coz aliwazalo mjinga ndo litakalo mtokea sina maana kuwa ww mjinga just kama nafikisha ujumbe dzain hiyo tano usije ukamuita dada hata siku moja wala usimuulize shemeji ajambo sita onesha kumjal na mtu wa huruma last one usipigenae stori za mapenzi ikiwa bado hujamtongoza wala yeye kukubalia kwan unataka kumtongoza braza?????????? afu sasa sipati picha kama mngekutana huko mwisho wa gari coz bila shaka ulipanda gari lingine ulivyoshuka katikati ya safari KEEP MOVING

Nimekusoma Mkuu... Hahah
Nimependa Comment Yako Ya Mwisho, Bila Shaka Ilinilazimu Nitembee Kidogo Kwa Mguu Then Nikapanda Gari Ingine Baada Ya Nusu Saa
 
POINT!
Lakin Pia Ni Vizur Aseme Mapema Ili Na Mim Quit Kuliko Ku'Assume Ka Anae Au Hana Hayo Ni Mawazo Mengine
Aseme umemuuliza?!

Hizo swagga za "NIMEOLEWA" wakati mtu anakujulia hali kirafiki tu wengine hawana. Kapiga kimya na wewe piga kimya. Kama anakupima atakuja mwenyewe kwa speed 120.
 
Haha
Nahis Atakua Muelewa Kuwa Mim Ni Choka Mbovu Sababu Tulikutana Ndani Ya DSM, Si Unajua Usafir Wa Watu Wa Aina Huu Hapa Mjin

hapo sasa utaharibu, mara ya kwanza unakomaa kama vile shida unazisikiaga tu, mkizoeana ndio muonyehse kuwa kuwa we msakatonge tu hapa mjini.
 
Tuma vocha,atakuwa hana vocha huyo
 
Mkuu , mimi naomba unisaidie tu namba ya huyo binti , ikiwa utashindwana nae tafadhali sana , maana napenda sana mabinti wacheshi na wachangamfu na pia kwa sasa nipo single maana shemeji yenu hayupo kwa muda.. Tafadhali naomba hiyo namba. Ntakushukuru sana na nitakubariki sana.
 
Na namba akakupa kabsaa kisa mlkaa seat moja!

Ndio Kuna Lile Wazo La Usiku Linakuja Akilini Na Kuondoka, Ujue Ni Lipi

"Mpaka Kanipa Namba Ake Kwa Masaa Machache Tuliokaa Seat Moja, Na Dk Chache Tulizopiga Stor, Basi Uyu Binti Atakuwa Kanizimia Tuu"
 
Haha
Nahis Atakua Muelewa Kuwa Mim Ni Choka Mbovu Sababu Tulikutana Ndani Ya DSM, Si Unajua Usafir Wa Watu Wa Aina Huu Hapa Mjin

sio kila apandae daladala ni 'choka mbaya'. Acha kukariri maisha, ndo maana unashindwa ata umtongozeje huyo mchuchu.
 
Ndio Kuna Lile Wazo La Usiku Linakuja Akilini Na Kuondoka, Ujue Ni Lipi

"Mpaka Kanipa Namba Ake Kwa Masaa Machache Tuliokaa Seat Moja, Na Dk Chache Tulizopiga Stor, Basi Uyu Binti Atakuwa Kanizimia Tuu"

omba mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom