Fourier
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 218
- 76
- Thread starter
- #41
Aseme umemuuliza?!
Hizo swagga za "NIMEOLEWA" wakati mtu anakujulia hali kirafiki tu wengine hawana. Kapiga kimya na wewe piga kimya. Kama anakupima atakuja mwenyewe kwa speed 120.
Dada
Unauwa Namna Hiyo!
Kwanza Wanawake Nyie Mmeumbwa Kwa Haiba, Kitu Hata Kama Unakitaka Hutosema Hapo, Huoni Kama Nikimpotezea MeanWhile Yeye Anataka Ntakua Nimemnyima Haki Yake