Naomba ushauri ndugu zangu

Unataka kupata ugonjwa ambao huwapata wanafunzi wa kike, hasa shule za boarding, ule wa kucheka cheka.

Jambo ambalo hufanya walimu wakishaona hali hiyo, huwaachia ama kwa kiswahili kingine huwapa pass kwenda out kutembea, na ugonjwa huo huyeyuka.

Nawe sasa cha kufanya 'jiachie', utaona huyo jamaa hagusi tena akili zako, 'utapona' na utamsahau.
 
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
 
Dah umenikumbusha mbali September 2021 nilipata manzi mmoja Mzuri tu. Kwao ni huko Katavi. Akanipa show mara 4 hivi but kuna kipindi akija geto akawa anikazia hataki kunipa tunda . Japo nilimpenda aliwahi kuniambia live kwamba bado hajaanza kunipenda labda aanze kwanza kunithamini na kunijali. Nikaona fresh we nipe tunda tu kunipenda so lazima. Siku flani mwaka 2022 akaja geto but akanikazia kunipa kidude. Mwanenu nilinuna ile mbaya nikaamua kumkataa kijanja isitoshe ye nae akanishit akaniambia ye na mi hatuendani.
Juzi kati bwana, mwezi wa nne kanicheki bwana eti amenimiss. Poa tu sisi mameni hatukatai kipochi manyoya
 


Kumsaliti MTU mwaminifu huacha nafasi ambayo kamwe hutoweza kuiziba haijalishi utajaribu kwa kiasi gani kuiziba


Hatoongea pale utakapomsaliti lakini ukimya wake utakuwa ni mwangi wa sauti kubwa ndani yako kuliko sauti yoyote uliwahi kusikia
 
Huna lolote njaa tu inakusumbua ulizoea kula hela za jamaa ila kwa basha wako uliye nae sasa huli hata 100
 
Safi! We cheza pasi zako tu mkuu ila kumbuka kutumia kinga, hilo gape la in & out kuja kwako ghetto si salama hujui huko akiendaga anakutana na wangapi kabla hajakurudia wewe tena, so play safe nigga..
 
Sikiliza hii nyimbo itakutoa upweke... [emoji23][emoji23]


View: https://youtu.be/SS8cJ77faHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…