navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 156
- 167
Labda alambe cheoHongera kwa kupata hamasa ya kwenda kusoma mkuu,ngoja wakuu waje ila je umejaribu kucheki fields zilizopo zenye hiyo physics? Umevutiwa na ipi?
Manufaa kwanza ni kwako mwenyewe utakua educated kiasi cha masterspia naona salary haitakua the same namwenye degree bana. All the best
Kasome "bachelor degree in material science" Mandela University - Arusha... Hutojuta...Wadau ninaomba mchango wenu wamawazo. Nimekua mtumishii wa serikali kwa miaka minne Sasa, katika idara ya elimu(Mimi ni mwalimu).
Nafundisha masomo ya physics na chemistry, na ninayo elimu ya bachelor yenye GPA nzuri tu.
Nimeamua kutaka kurudi kupiga kitabu Tena, nafikiri nikasome master hasa ya physics. Ila mpaka saiz bado cjajua field ipi nikachukue
Nimekuja kwenu kupata msaada wa mawazo ili niweze kufanikisha ndoto angu.
Afu pia, Kuna swali najiuliza vipi Kuna manufaa yeyote ninaweza pata baada ya kumaliza master au mifumo ya sikuhizi imekaaje wadau.
Nawakaribisha mchangie kwa chochote.
KARIBUNI.
Nelson Mandela hawatoi Bachelor Degree; wanatoa Master's & PhD, Materials Science and Engineering ataikuta; specialization kwenye Structural Materials & Energy Materials;Kasome "bachelor degree in material science" Mandela University - Arusha... Hutojuta...
Very true.... Ahsante mwamba kwa info zaidi kwa jamaa yetu ...Nelson Mandela hawatoi Bachelor Degree; wanatoa Master's & PhD, Materials Science and Engineering ataikuta; specialization kwenye Structural Materials & Energy Materials;
Kama GPA yako ni nzuri I mean iko 3.8 and above tafuta nafasi vyuo vikuu then omba kuhamia km Tutorial Assistant; then utaenda kufanya Master's ukishafika huko maana ni lazimaWadau ninaomba mchango wenu wamawazo. Nimekua mtumishii wa serikali kwa miaka minne Sasa, katika idara ya elimu(Mimi ni mwalimu).
Nafundisha masomo ya physics na chemistry, na ninayo elimu ya bachelor yenye GPA nzuri tu.
Nimeamua kutaka kurudi kupiga kitabu Tena, nafikiri nikasome master hasa ya physics. Ila mpaka saiz bado cjajua field ipi nikachukue
Nimekuja kwenu kupata msaada wa mawazo ili niweze kufanikisha ndoto angu.
Afu pia, Kuna swali najiuliza vipi Kuna manufaa yeyote ninaweza pata baada ya kumaliza master au mifumo ya sikuhizi imekaaje wadau.
Nawakaribisha mchangie kwa chochote.
KARIBUNI.
Tuko pamoja mkuuVery true.... Ahsante mwamba kwa info zaidi kwa jamaa yetu ...
_ Mkuu upo serious kabisa?Ila mpaka saiz bado SIJAJUA field ipi nikachukue
Nimekuja kwenu kupata msaada wa mawazo ili niweze kufanikisha NDOTO ANGU.
Afu pia, Kuna swali najiuliza vipi Kuna MANUFAA YEYOTE ninaweza pata baada ya kumaliza master.
Asante mkuuKama GPA yako ni nzuri I mean iko 3.8 and above tafuta nafasi vyuo vikuu then omba kuhamia km Tutorial Assistant; then utaenda kufanya Master's ukishafika huko maana ni lazima
Lakini pia kwa masomo yako kuna taasisi nyingi tu na mashirika ya umma unaweza kufanya kazi; omba kuhamia sehemu km TBS; TAEC; TIRDO; COSTECH (Hii ukiwa na Master's au PhD)
All in all ingia mitandaoni utafute scholarship ziko nyingi tu hata Mandela zipo na za nje ya nchi zipo km ICCR- India, China, DAAD- Germany....., All the best
Hakuna manufaa isipokua utaongezewa ngazi mbili za mshahara,, mf Kama uko TGTS D2 utapelekwa TGTS D4,,,,,,zaidi Maningu yataongezeka Sana Kazini,,,nimegraduate MA.ED 2018 najua ninachokiandikaWadau ninaomba mchango wenu wamawazo. Nimekua mtumishii wa serikali kwa miaka minne Sasa, katika idara ya elimu(Mimi ni mwalimu) umri miaka 28.
Nafundisha masomo ya physics na chemistry, na ninayo elimu ya bachelor yenye GPA nzuri tu.
Nimeamua kutaka kurudi kupiga kitabu Tena, nafikiri nikasome master hasa ya physics. Ila mpaka saiz bado cjajua field ipi nikachukue
Nimekuja kwenu kupata msaada wa mawazo ili niweze kufanikisha ndoto angu.
Afu pia, Kuna swali najiuliza vipi Kuna manufaa yeyote ninaweza pata baada ya kumaliza master au mifumo ya sikuhizi imekaaje wadau.
Nawakaribisha mchangie kwa chochote.
KARIBUNI.
Sure mkuu nime-graduate Master's 2018.....mpka sasa nimeongeza Majungu kazini na uadui na H/MLabda alambe cheo
Ila serikalinii hakuna mshahara wa masters boss .
Labda kwenye vyuo vikuu .
Otherwise Ni waste of time and money
Pesa ya master afungulie biashara .
Ila kama anae Godfather pale tamisemi au wizara ya elimu sawa Go ahead.
Kwa hiyo degree inakufa?ngoja wazoefu waje wakushauri in details ila with no doubt kwenda kusoma ni muhimu wala usiangalie manufaa ya sasahivi, utumishi wa umma elimu itakubeba, lakini pia hata kwako binafsi usiridhike na degree moja ni sawa na kuwa na mtoto mmoja akifa ndo basi.
Kila la kheri.