Naomba ushauri: Nataka kununua godoro zuri la kulalia

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,318
10,021
Ndugu zangu salam.

Nataka ninunue godoro la kulalia mim mwenyewe, nataka godoro jipya Size 5/6 nchi 8

Nimepitia thread za magodoro humu nimeona nyingi ni za zamani sana hivyo nikafikiri ninahitaji currently views kwamba kwa sasa ni magodoro gani bora na imara zaidi?

Bajet 200,000-250,000. Mahali ni Mbeya.

Ahsanteni.
 
Mimi nlikuwa ni muza magodoro hapo nyuma agizia daresalam godoro la tandform arusha hutajutia hela yako ulio itoa ukishindwa nunua godoro la (dodoma quality form limited) ukishindwa tena nunua super banco hayo magodoro hutajutia hela yko na niwashauri nunua godoro lenye foronya ya kawaida au ambalo halina foronya achana na maurembo godoro lililo dizainiwa na dhani umenielewa.
 
Mkuu inaonekana na ww ni mteja wa CCM
 
Mkuu Tanfoam Arusha yapo hata Mbeya.
 
Mkuu Tanfoam Arusha yapo hata Mbeya.
 
Kuna godoro nmenunua ata miezi sita haijaisha limeshatengeza shimo katikati
 
Kuna godoro nmenunua ata miezi sita haijaisha limeshatengeza shimo katikati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…