Tatizo lilianzia hapo..nikahamia kwenye virtual bet mpaka Aviator la Sportybet nako nilipoteza tu.
Asipofuata huo ushauri asahau kuacha kubetiTatizo lilianzia hapo..
Usiamini kabisa AVIATOR. Utafirisika
Kile kindege hapana na ndipo wanapoingiza hela sanaAsipofuata huo ushauri asahau kuacha kubeti
Kile wanacheza wageni wa kamari ila wenyeji uwezi cheza ni upigwaji wa wazi kabisa.Kile kindege hapana na ndipo wanapoingiza hela sana
Usiache kubeti, serikali inataka kodi yako ili igharamie miradi.Habari za muda,
Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.
Japo nilishawahi kushinda nilibetia mpaka pesa ya michango kama Tsh. 90,000/- nikala Tsh. 180,000/- but nilikua sibet sana sababu shuleni unabanwa kutumia simu.
Nilivyofika chuoni ndio uraibu ukazidi baada ya kumiliki smartphone, nikawa mraibu sana wa kubeti nikahamia kwenye virtual bet mpaka Aviator la Sportybet nako nilipoteza tu.
Naombeni ushauri namna gani niweze kuacha kubeti maana najitahidi nashindwa.
HahahaKile wanacheza wageni wa kamari ila wenyeji uwezi cheza ni upigwaji wa wazi kabisa.
Upigwaji usio kuwa na shaka ndani yakeKile wanacheza wageni wa kamari ila wenyeji uwezi cheza ni upigwaji wa wazi kabisa.
Yani unapigwa mpaka unashtuka mwenyewe, bora mpira wa miguu unazishuhudia dakika 90 liveUpigwaji usio kuwa na shaka ndani yake
🤣Yani unapigwa mpaka unashtuka mwenyewe, bora mpira wa miguu unazishuhudia dakika 90 live