Naomba ushauri na meelekezo ya wapi nitapata pikipiki bora ya kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri na meelekezo ya wapi nitapata pikipiki bora ya kike

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mama Ray, Oct 13, 2012.

 1. M

  Mama Ray Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau wa JF nitaka kununua pikipiki ya kike nzuri so naomba mnielekeze wapi nitapata na ni aina gani nzuri. Kwa Dar es salaam.
   
 2. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nenda kwenye ofisi za bajaj pugu road karibu na TCC chagua pale.Boxer nzuri tu
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  pikipiki ya kike?
   
Loading...