Mimi ni binti wa miaka 20.
Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yeye ni bikra lakini mimi sio. Sasa inaleta shida nilipomwambia nimesha sex mara Sita na wanaume watatu tofauti.
Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha.
Kaka na dada zangu naomben ushauri.
Mimi nampenda kweli na yeye anasema ananipenda lakini hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka.
Mimi nina uhakika wa afya yangu niko salama kabisa.
Nifanyeje?