Naomba ushauri: Mke wangu amefikia menopause na hataki tendo la ndoa

SASATELE

Senior Member
Sep 12, 2011
167
89
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!
 
KipimaPembe

JF-Expert Member
Aug 5, 2007
1,285
695
Huo ndo ukweli wa maisha. Kila mtu anajibu tofauti na mwengine. Imani zetu hazitufundishi ukikumbana na hali hiyo ufanye nini! Sana sana utaambiwa uvumilie kwa maisha yako yalobaki. Suluhisho la kiimani huo ndo mwisho wake.

Suluhisho la kidunia ni kuoa mke wa pili (waislam na mila za makabila karibu yote - hata wazungu) zinaruhusu hii kitu. Ila kwa wakristo mamboleo huwezi kuoa kihalali. Utalazimika kuoa kwa siri. Tunza heshima ya mkeo.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,006
23,862
pole sana, ngoja nikusanye akili kabla sijakujibu.

Ile sred ya kwamba mawazo yetu yako kingono sababu ya mgandamizo wa tendo sasa nimeielewa.

Kutoka nje sio suluhisho maana maradhi ya uzeeni nayo tabu.

Labda mrudi kwenye style za vijana BJ na za aina hiyo.

Afu kuna hormone huwa wanakunywa watu wanaoingia menopause, maana lile joto baridi si mchezo.

Hivi KY? Sijui kwa nini nina phobia nayo.

Afu lazima umkalishe aelewe wewe kwako hili ni tatizo kiasi gani, seriously.

Vinginevyo teh teh teh, we can tok bizinesi, zis is tauni bana.
 
SASATELE

Senior Member
Sep 12, 2011
167
89
heheeeeeeeeeeee aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mstahmilie mwenzio,kwani kwakiwango chakounaweza game mara ngapi kwa week? samahani lakini kwakuliza hilo.

we Promiseme ulivyolichukulia kimzaha hata sina haja ya kukuambia
 
Taured

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
625
400
kamuone mtaalamu wa masuala ya hormones akupe ushauri wa kitaalamu hususani vyakula au dawa za kuongezanhamu
 
Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,419
12,551
we Promiseme ulivyolichukulia kimzaha hata sina haja ya kukuambia

Anadhani anaelekea utotoni!

Mimi nasubiria majibu ya hapa niweke kwenye kumbukumbu, siku nikifika huko (Mungu akipenda) nifanye reference.
 
promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,708
926
we Promiseme ulivyolichukulia kimzaha hata sina haja ya kukuambia
Samahani usinilewe vibaya sana nilikumbuka babu yangu alipokua na tatizo kama lako akatafuta mwanamke mdogo
sasa yule mwanamke alikua mlevi sana,akawa usiku anatoka kwenda kulewa au wakati babu kalala sikubabu alipokuja kujua yule msichana akampiga babu na ndio ikawa maradhi mpaka amefarika,sasa nilimkumbuka yeye alisema mpaka
yote yananikuta haya sababu ni bibi yenu hakutaka kunipa ananiita mchinvi...samahani sana na ntakuelewa pia kama hutotaka kujibu swali..
 
ok Promiseme, apologies accepted.
Jibu ni mara 2 in a week
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,298
1,552
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

Mpe kipindi kifupi yaani hata miezi 6 haipiti or even mwaka, yupo ktk kipindi cha mwili kukubali yaliyotokea na baada ya hapo atarudia hali yake ya kawaida na kama ni mapenzi ujipange kwani utarudi kulalamika mke wangu anataka kuniua kwa mapenzi kila siku si unajua hakuna mawazo ya mvua wala jua.....Kipindi hiki mwanamke anakuwa huru kupita kiasi na kama una uwezo basi subiri utaamini maneno yangu kwani mapenzi yatarudi kama wakati wa uchumba.
 
LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
512
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

Ongea naye tu kwa upole na umwombe akuruhusu kuwa na small haouse ukimuahidi kwamba yeye atabaki kuwa ur best wife forever.
 
Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,607
3,033
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

Menopause ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya wanawake...kwenye menopause, hormone ya kike 'Estrogen' hupungua level zake kwa kiasi kikubwa, na moja ya matokeo yake ndio hiyo hali ya kutojiskia kufanya tendo la ndoa (loss of libido), na pia hata akifanya..uke unakuwa mkavu (vaginal dryness) kwa sababu hizo hizo hormone za Estrogen ndio huwa zinachochea ashki na maji kumwagwa ukeni. Kupungua kwa hormone hiyo pia huleta mabadiliko fulani kisaikolojia kwa baadhi ya wanawake..vitu kama mood swings ni vya kawaida.

Hakuna tiba dhahiri au ya moja kwa moja...hata akitumia vidonge vya Estrogen bado anaweza kuexperience similar symptoms atakapokuwa anawithdraw dawa. Kikubwa ni yeye kujielewa. Kama ana access na mtandao mwambie a'google' mtandaoni kuna literature kibao kuhusu kudeal na menopause na effects zake, kama hana access na mtandao basi tafuta kitabu kilichoandikwa na Dr Kapona kuhusu kukoma hedhi (ni cha Kiswahili) na effects zake na jinsi ya kudeal nazo. Anahitaji elimu, ili yanapotokea hayo ajue kabisa yana sababishwa na nini na vipi kuyakabili.

Pia unaweza kumpeleka kwa Dr Kapona mwenyewe pale Tumaini Hospital amuelezee kwa kirafu kuhusu menopause na jinsi ya kudeal nayo (ila utalipia mkwanja wa kutosha, si umesema hela si tatizo).
Kupungua
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,519
1,082
Ukweli ni kwamba mkeo kapoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa nawe,kuna mambo ambayo huwa yanafanya mwenza kupoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo jichunguze kwanza na uone ni kipi kimepungua kwako na si kuanza kufikiria kuwa yeye ndiye mwenye tatizo.
 
Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
148
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

Usimlazimishe,ikiwezekana mpeleke kwa daktari for medication yawezekana ana tatizo la hormones!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom