Naomba ushauri: Mke wangu amefikia menopause na hataki tendo la ndoa

hapo solution zipo za aina mbili

1.Yeye angezewe ashiki kitaalam i.e hormone au
2.Wewe upunguziwe ashiki,just undergo vasectomy hiyo ndio for better for worse.Ukifuata totozi utakwama:bowl:
 
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

pole aisee umenifanya na mimi nianze kufikiria hiyo menopause japo bado km makumi 2 hivi nifike huko..
any way ni kawaida mwili unapopata kitu kipya unahitaji muda ili kuzoea hiyo hali, naamini baada ya muda fulani mama atarudi ktk hali yake na atakuhitaji..
usitoke nje bana, mana hapo utaharibu kila kitu ujue mazaa ndio mmehangaika nae kutafuta huo mkwanja ulionao leo sasa sio vizuri ukatafuta na mwingine halafu akaja kutumia mwingine..na hao wasiojua kutafuta huwa ni watumiaji wazuri tu..usifanye hivyo..
LABDA kama wife atakubali uwe na small house, it is ok..kuna wanawake wateule bwana wao kushea sio ishue kuuuubwa, afer all ye haitumii kiivyoo,
Mi nina ndugu yangu yeye alipofikia menopause alimwambia mumewe hawezi hiyo kitu anaumia, ila alimruhusu mumewe kuwa na small house na cha ajabu zaidi mumewe alipopata hiyo small house bi mkubwa alimkaribisha nyumba ya uani akawa anaishi hapo..mi nilishangaa sana kwani binafsi ninsingeweza..hiyo small house sasa ndio ikaanza vuruguvurugu hadi mzee akaitimulia mbali..
 
hapo solution zipo za aina mbili

1.Yeye angezewe ashiki kitaalam i.e hormone au
2.Wewe upunguziwe ashiki,just undergo vasectomy hiyo ndio for better for worse.Ukifuata totozi utakwama:bowl:

charger,
Vasectomy haipunguzi ashki mwanakwetu au madr watusaidie hapa!! Hiyo No. 1 nitamshauri mamaaa akikubali tunatia timu hospital
 
Ukweli ni kwamba mkeo kapoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa nawe,kuna mambo ambayo huwa yanafanya mwenza kupoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo jichunguze kwanza na uone ni kipi kimepungua kwako na si kuanza kufikiria kuwa yeye ndiye mwenye tatizo.

Joseph,
Hivi umesoma kweli bandiko langu ukaelewa. Nimeshasema mke wangu kakosa hamu sababu ya menopause!! sio sababu nyingine, kha!!
 
Hii kitu ni changamoto sana kwenye ndoa.
Uzee ni mchungu lakini kwa mwanamke ni mchungu zaidi.
Hapa inahitajika hekima na busara sana.
Pole sana
 
Joseph,
Hivi umesoma kweli bandiko langu ukaelewa. Nimeshasema mke wangu kakosa hamu sababu ya menopause!! sio sababu nyingine, kha!!
Nimeelewa mkuu,lakini nawewe umenielewa nilichosema?Kuna watu wenye umri zaidi ya huo na wanafurahia tendo la ndoa kama kawaida,kufikia ukomo wa kuzaa si sababu ya kutoweza furahia tendo.Natambua umenizidi umri lakini bado naweza kutoa ushauri kwako kwani nami naishi na watu wazima ambao wamezidi umri wako na wanachakachuana kama kawaida ingawa inaweza chukua hata wiki mbili mpaka mwezi huoni purukushani,wengine huamua kusafiri mbali kwa muda mrefu na wakirudi siku hiyo mambo huwa safi.

hapo solution zipo za aina mbili

1.Yeye angezewe ashiki kitaalam i.e hormone au
2.Wewe upunguziwe ashiki,just undergo vasectomy hiyo ndio for better for worse.Ukifuata totozi utakwama:bowl:
Mkuu ngoja nikukosoe kidogo.
Vasectomy ni operation ndogo ya kufunga uzazi kwa Mwanaume na kamwe haiwezi kupunguza nguvu za kiume(ie. Hamu, kudinda, Kumwaga).

In short ni kwamba Vasectomy haina msaada wowote katika kutatua tatizo hili.
 
kuna products zile natural zinasaidia watafute watu wa gnld na alovera...kuna mama mmoja anasema zilimsaidia try that, wapo wanaoziuza humu pls jitokezeni msaidie jahazi
 
Thanks Concrete, dah, jamaa angenilostisha na vasectomy!! Kweli laima uwe kama mbayumbayu - akiliya kupewa unachanganya na yako!! lol
 
charger,
Vasectomy haipunguzi ashki mwanakwetu au madr watusaidie hapa!! Hiyo No. 1 nitamshauri mamaaa akikubali tunatia timu hospital

Joseph,
Hivi umesoma kweli bandiko langu ukaelewa. Nimeshasema mke wangu kakosa hamu sababu ya menopause!! sio sababu nyingine, kha!!

Thanks Concrete, dah, jamaa angenilostisha na vasectomy!! Kweli laima uwe kama mbayumbayu - akiliya kupewa unachanganya na yako!! lol
SASATELE majibu yako yanadhiri miaka 51...Kila la heri katika kutafuta jibu la changamoto yako.

Najaribu kupiga picha mwanaume akifika stage macho yanatamani lakini dushelele hatoi ushirikiano...mkuyati utakomaje!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii Menopause Wanawake wanasiasa hawaipati? maana huko Chimwaga wanavyochakachuana wala huwezi kujuwa hapa nani kikongwe na nani Msichana.

Hivi Batilda Buriani ana umri gani? nauliza tu kuna kitu nimekumbuka.
 
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!
Mzee wangu umetisha umenikumbusha mzee wangu fulani tulie kuwa tunasoma nae chuo pale moro yy alipata tatizo kama hilo nilikuwa nampeleka kahumba pale kwa machangudoa anajipoza
 
mada kama hizi huwa namith thana my shostilo gfsonwin angemwelewesha vizuri kweli huyu baba!
manake masomo yake huwa yana point of view nyingi
kuna
-biology
-ushangingi wa mujini
-kiimani
-kisomi
-kimafia
-kikungwi
-kimujhini mujhini

basi tu mradi angemaliza kuandika post moja tu mzee wetu SASATELE anha mbona ungeondoka hapa na notes za kutoa kopy na desa lake ukampa mama yetu asome!
 
simple solution: gonga nje, mkeo hana haja ya kujua. Mimi mambo kama haya nakushauri hata yasikupe stress ndugu, ushazeeka, utaishia kupata pressure bure.. big problems-simple solutions, nenda pale ambience sinza utapata wengi tu.
 
WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!

Jaribu GNLD maana wanaripea grisi za magoti ya wazee kwa dawa zao labda na hiyo kitu wanaweza kuwa na suluhisho.
 
kuna kibib mtaani kwetu kina miaka zaidi ya sitini kinakamuliwa na vijana kinoma eti mzee wake hakitoshelezi!na waliopita wanadai kina nye***ge balaa!Huyo wako kulikoni?Nenda hospitali mbona bado mbichi huyo!
 
Back
Top Bottom