awamuyetu JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 329 Reaction score 166 Feb 17, 2023 #1 Niko kwenye maandalizi ya kujiunga chuo kwa ajili ya kuongeza uelewa katika taaluma yangu ya ufundi, naomba kujua kwa ulinganifu kipi bora kati ya Tablet PC na Laptop. Natanguliza shukran kwako.[emoji120][emoji120] View attachment 2520157 Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Niko kwenye maandalizi ya kujiunga chuo kwa ajili ya kuongeza uelewa katika taaluma yangu ya ufundi, naomba kujua kwa ulinganifu kipi bora kati ya Tablet PC na Laptop. Natanguliza shukran kwako.[emoji120][emoji120] View attachment 2520157 Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,823 Reaction score 113,178 Feb 17, 2023 #2 Jaribu kuweka swali lako vizuri mkuu. Kipi bora kwa kuongeza maarifa, ama kipi bora kutumia kuongeza maarifa?
Jaribu kuweka swali lako vizuri mkuu. Kipi bora kwa kuongeza maarifa, ama kipi bora kutumia kuongeza maarifa?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,565 Reaction score 197,264 Feb 17, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...