Naomba ushauri kwa wanaotumia Juisi ya Forever (FLP)

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,018
7,677
Habari wana jukwaa,

Msaada tafadhali kwa anaejua au ambae alishatumia juice za forever living (za wakubwa)! je mtumiaji akitumia pombe(wakati bado anaendelea kutumia juice) ni kosa? je kwa mama mjamzito zinaweza kuwa na madhara?


Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom