Habari za wakati huu wakuu , Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo kinachotoa Diploma ya ualimu wa shule ya Msingi , Ninaomba ushauri Ni chuo gani anaweza pata diploma inayofanania na ualimu wa primary au aweze kuchukua hatua gani kujiendeleza