Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JONATHAN KAMWAVAH'S, Oct 17, 2012.

 1. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,maumbile yangu ya kiume ni makubwa kiasi cha kulizisha tu yani nnchi 7.3urefu na nnchi 2.1 upana,mwenzenu wakati wa kufanya mapenzi na chelewa sana kushusha mzigo kiasi kwamba mwanamke anaweza akashusha mla nne mimi mkavu!na sijawai kutumia dawa yoyote toka nizaliwe ya kuongeza nguvu wala nini na chakula nachokula ni chakawaida sana,je ni vizuri kuwa na ali kama hii,naombeni ushauli nijuwe kwani natafuta mchumba nisije achwa kisa ali hii.
   
 2. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unachelewa kwa muda gani...
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  unatumia muda gani kwa TICS wako kuruhusu kontena kushushwa, in minutes please.
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Meaning hauna hisia, au hisia ziko mbali sana. Ana Heri yule ambaye yu na kiasi; yule ambaye ana hold kwa kupenda (na sio kwa kutoweza), kiasi kwamba anaweza amua acome at the same time ambapo mpenziwe anacome.
   
 5. S

  Submissive Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sabuni hizo boss, mpaka ngozi inakuwa ngumu kama ya kalumekenge. Acha vitu hivo big ni noma.
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahhaaaaa! Kalumekenge!!!!
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mie nilidhani mtu akitumia sabuni ndio anawahi kumwaga maana na sabuni anajipimia mwenyewe "mnato" wakati kitu origino mnato ni ule ule thruough out
   
 8. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa%
   
 9. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nime wahi sana dakika 35-40.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Zubeda njoo toa ushuhuda
   
 11. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiamini kijinga tu!mm nimekuomba ushauli unapaswa kuniuliza na kunisikiliza mm,kwa kifupi sijawai kufanya upuuzi kama huo toka nizaliwe.
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  sarufi mbovu
   
 13. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nachokueleza ni ukweli amini usiamini sijawahi kufanya upuuzi huo hata siku moja toka nizaliwe.
   
 14. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umefurahishwa na huo upuuzi heee!ukweli ni kwamba sijawahi kufanya upuuzi huo toka nizaliwe,kwanza mapenzi ni kwa viumbe viwili vyenye jinsia tofauti wewe unafanya na sabuni si ndo mwanzo wa ushoga huo.
   
 15. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unasemaaa!
   
 16. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini?
   
 17. W

  Wajad JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika na hiyo size uliyoandika. Unene huo na urefu huo wee punda?!
   
 18. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Labda si rizki unalazimisha tu, jaribu mchezo kinyumenyume uone itachukua muda gani.
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Utoto na story za vijiweni vinakusumbua ukikua utaacha
   
 20. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani inchi 7.3urefu na inchi 2.1upana si kipimo cha kawaida tu.siyo futi 7.3ni inchi7.3 umenisoma.
   
Loading...