Naomba ushauri kuhusu mchumba wangu

Naomba ushauri kuhusu mchumba wangu

Mahusiano yasiyo na challenge hata raha hayana,mi nikiwa na mtu submissive hivyo namchapa makofi mara moja moja kumchangamsha akili kidogo, lol
Aione kaka yako best,mzima lakini wewe?
Ha ha haa unapenda kuchapa watu makofi bi shosti!!!
 
Ndg kuna tatizo kiac chake eb ona km sasa anazingua kumuoa et mapema,angekuwa mwingne c angekubali yakaisha.


Anajiridhisha bado aone kama kweli unastahili kuwa mume wake,au nawe unaamini wanawake hawana choice wakishasikia ndoa tu akili inahama?
Anaweza akakubali yakaisha kisha akajuta baadae,kosea njia utaelekezwa sio mume/mke utajuta milele.
Mnahitaji muda zaidi.
 
du pole usilazimishe ndoa, kama yeye anataka mwezi wa 10 basi subir au unamlipia mpaka gharama za kitchen party na send off yake full? sababu za msingi anazo ila akikwambia utazimia, we unataka akwambie amepata mwingine?
 
Mmh miezi mitatu unataka ndoa...!!no Please unahitaji c chini ya miaka 2 kukaa na mtu na kumsoma na kumwelewa vizuri kumbuka ndoa ni kifungo so you ve to get prepared,
My advise; vuta muda ila kuwa naye kwa karibu sana, usiamini vile alivyokwambia bali amini vile uvionavyo akiwa na furaha au huzuni, hasira au akiwa apeche, akiwa na jambo linamsumbua au akiwa sober nk nk

Soma kwa karibu kila reaction, na anavyo interact akiwa off mood au kwenye hizo hali nilizotaja hapo juu
 
mkuu huyo mchumba wako hana shida kabisa,tatizo liko kwako.coz akikutikisa na wewe unatikisika,in life a man has to be principled,you have to command with authority,she must know your NO is NO and YES is YES and not the reverse.usipokuwa imara katika hilo,atakuburuza balaa.
 
du pole usilazimishe ndoa, kama yeye anataka mwezi wa 10 basi subir au unamlipia mpaka gharama za kitchen party na send off yake full? sababu za msingi anazo ila akikwambia utazimia, we unataka akwambie amepata mwingine?

aisee hii nimeipenda uyo mwke atakuwa ana plan B na ndo anapima kwa mara ya mwisho kabla ajaamua na inawezekana kuna ahaadi ya ndoa ya pili anafanya ku.-compare kati yke na uyo mbaya wke jamaa kma mjanja asimshangae ajifanye kma kachukulia kawaida uku akimfuatilia kwa makini bila yy kujua chochote uku nyuma au nae atafute plan b coz iyo anayotegemea imekwama.
 
Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa,

Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa katakata mpaka eti mwezi wa 10 bila sababu za msingi na mim nimechoka sana na upweke.

Najiuliza kwanini akatae,alafu ana misimamo sana na ujasiri,nahisi hata tukiwa kwenye ndoa akiamua kuwa hanipi,najua sitapata kweli tendo.

Nisaidien wanajamvi.

Nawasilisha.


mahusiano miezi mitatu tu unalilia ndoa!?????????
 
huyo hataki kuolewa,hana shida ya kuolewa na hajatambua thamani uliompa ya kumuoa,,mpige chini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom