Chukua Cyber utanishukuru baadae hiyo nyingine kimeo sana kupata AjiraJe, Competition & Effectiveness Zao Uraiani Zipoje?
Kwanini usisome computer science alafu uspecialize hiyo cyber dogo
Hp nilipo nina diploma ya ICT mkuu so nkitafakar Naona km nikienda kusoma TN bachelor ya computer science ni kma narudia mule Kenny IT au nakosea ndugu yng, ushaur went tafadhalKwanini usisome computer science alafu uspecialize hiyo cyber dogo
Nmekusoma mkuu [emoji120], ila kweny Ngeli npo vym tu fluentHizi ni kozi mbili tofauti kabisa yaani ni incomparable.
Ila kama sio mzuri kwenye ngeli, na uwezo wa kupangilia maongezi yako achana kabisa na international relations. International relations needs some special charisma and inborn traits.
Soma Computer Science.Km mm ndio naingia hv degree Mwaka huu jpo nipo Kwny njiapanda ya maaumuz sahihi