UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Wanajamvi niko na tatizo nilichukua Sola ya ZOLA kwa kulipia kidogo kidogo kwanza awali nililipa 75000 then iliyobaki nalipa kwa mwezi sasa leo napiga HESABU nimeshalipa 550,000 halafu Leo naambiwa bado nadaiwa 320,000 hivyo ukijumlisha JUMLA unakuwa 870,000 zola yenyewe inawasha taa nne tu haina UWEZO wa KUFANYA kingine chochote
Sasa leo wananipigia simu wananiambia nisipolipa hiyo 320000 wanakuja ngoa mtambo wao
Nishaurini nifanyeje?
UMEME NINAO NA NI WA UHAKIKA
Sasa leo wananipigia simu wananiambia nisipolipa hiyo 320000 wanakuja ngoa mtambo wao
Nishaurini nifanyeje?
UMEME NINAO NA NI WA UHAKIKA